KimbakaeKO
Member
- Jun 23, 2024
- 39
- 45
Mwaka uliopita, Mama yangu alinihadithia kuhusu jambo liliomtokea Mjomba wangu.
Ni hivi wadau, Mjomba wangu alioa mwanamke wa zanzibar nae alikuwa anafanya kazi huko na akajenga nyumba pia na akapata bahati ya kupata watoto wawili kwa sas wapo elimu ya sekondari.
Baada ya muda kutokana na visa vya mwanamke huyo mjomba alikuwa akimueleza kwamba ukiendelea na hivi visa, nitakuacha.
Lakini jibu la wanamke alikuwa anamwambia mjomba kwamba utaondoka wewe hapa.
Baada ya muda waliachana kweli.
Mchakato ukanzia hapa.
Yule mke wake akaanza kwenda katika Mahakama na kwa Kadhi na baadae sheria ikasema ikiwa wewe ni kutoka bara ukajenga kule basi hauna haki ya umiliki wa nyumba kwa kuwa umezaa nae. Je, hizi sheria ndivyo zilivyo au kuna magumashi yamefanyika?
Na kama ndivyo hivi, hii nchi inafanya mambo tofauti bara na visiwani.
Mjomba alisarenda na kwenda kuishi kwa rafiki zake baada ya kutolewa na serikali ya huko.😥😥😥😥😡😕