mnepha
JF-Expert Member
- Apr 5, 2016
- 300
- 280
Hawa wote ni weusi kama sisi na ni wamoja. blacks during the period of queen sheba. aliwaamuru navigators wa circle navigate the entire globe.
Kwahio walisafiri na kuhamia huko na waliendeleza ustaarabu huko pia. kumbuka Mexico kuna olmecs ambazo ukienda ethiopia unakuta olmecs pia.
kwahio dunia hii ni yetu sisi watu weusi na ndio tumepeleka ustawi na ustaarabu dunia nzima.
Ndio maana katika mabaara sita majina yameanza na herufi "A" kumaanisha ni mabara ambayo yamejengwa pyramid.
Ni ulaya tu ndio haina herufi A kwakuwa wazee wetu hawakujenga pyramid yeyote kwakuwa eneo hilo lilitendwa kama Gereza ya kuwafunga uncivilised beasts kwenye mapango.
Ndio maana ulaya ndio sehemu pekee kuliko na mapango mengi. na wazungu ndio wafungwa na huitwa cave dwellers.