Je? Wajua dunia yetu ni ndogo kiasi gani?

Binafsi naamini kuna viumbe wengine huko nje ya dunia,wanaweza wasifanane na sisi na kwa kila mfumo,kuanzia upumuaji,ulaji na kila kitu.ila hapa kwenye kusali,Mungu yupo mmoja maana ndio muumba.ila uyu shetani sijui nao watakua na shetani wao au ndo huyu huyu
 
Acheni maskhara
We jifikirie tunasena kuwa hakuna kitu chenye kas kama mwanga halaf unaambiwa kuna umbali unaitwa lightyears....yaani sio kilometer ....light years yaani mwanga usafiri kwa mwaka mzima ndio utakava hiyo distance.....sasa imagine mwanga wa jua unachukua takriban dakika 8 kufika dunuani.....
Homework jiulize he itakuchukua muda gani wewe ndani ya Bugatti veyron kucover light year moja
 
Hakuna wanacho ficha, ila owongo wao ni mwingi. Allah anasema aliziita mbingu na aridhi iliazipatie amana. Mbingu na aridhi zikaogopa na kukataa amana hiyo, ndipo amana hiyo ilipoletwa kwetu binadam na majini nasi tukaipokea. Vilivyobaki vyote vikadhalilishwa mbele yetu kutokana na jukumu tulilokubali kulibeba.
Pangekuwa na viumbe wengine huru ukituacha sisi na majini, hapanashka kwenye nuru ya Quran na sunna tungeliona hilo.
Pita hapa: salim msangi: JE TUPO WENYEWE KWENYE ULIMWENGU? S02, Ep3 (Nyayo za Wageni Kutoka Sayari Ya Mbali)

Huyo Allah anaingiaje hapa?
 
Kwa nini hao alien wachague kutua maeneo mawili tu Duniani?

Km wako vizuri ki tech.na walikuwa washirika wazuri wa Sadam Hussein kwa nini hawakumsaidia kushinda vita?
 
Mambo haya yako katika Nadharia,
Lakini kimsingi ni kitu halisi kisichoonekena,
kama umeme na upepo.
Umeme ukiugusa unarushwa au unakufa kabisa,upepo ukipuliza unapepea sometime unang'oa hadi mapaa ,siadhani kama mfano wako ni sahihi umeme na upepo sio vitu vya kufikirika
 
Hivi mnawaamini sana wazungu. Maana jua tunaliona ni dogo sana kuliko dunia likitoka mashariki kuelekea magjaribi. Halaf mtu anakuchorea mchoro kama huo unakubali tu kirahisi. Binafsi naamini dunia sio duara ni bapa kama meza yenye milima na mashimo mengi tu. Jua ba mwezi ndo hizunguka dunia. Kuna sehemu hauruhusiwi kwenye kwenye ncha ya kaskazini ukienda huko ndo kuna siri kubwa za kuamini dunia ni bapa
 
Back
Top Bottom