Je, Unaweza kumwekea condom mkeo anaposafiri?

TANZANNIA

JF-Expert Member
Sep 29, 2015
1,047
384
Nimewahi sikia baadhi ya wanaume wanaposafiri kwa muda mrefu kidogo wake zao huwawekea condom kwenye mabegi ikitokea akashindwa kuvumilia atumie zana, je inaweza kuwa kinyume chake kwa mwanaume kumwekea mkewe anaposafiri kwa muda mrefu kidogo?

Tuchambue taratibu
 
Hakuna binadamu tena Mtanzania wa kiume anaeweza kuruhusu mke wake eti akiwa safarini na amezidiwa atumike ila atumike kwa ..ndom...Sidhani hujasikia watu hadi wanaua na kujiua kwa tetesi tu kuwa kuna jamaa kapiga mama inakuwa vita kubwa...Labda kwa utani Mama anaweza niwekea mimi kwenye begi tena kiutani tu...
 
Kwanini umwekee...kwani yeye hajui zinapopatika!!akanunue tu ila nikijua ndo namimi atakapo nijua!
 
Eeeh? Hata ukimuekea unahakika gani atazitumia? Nyama kwa nyama unaijua radhake?

Mie kondom sikuekei na nikukamate unazini nje..... Ntakubabua na vyuma vya moto.
 
Mhhhhhh!!!!???
 
Kuna hii hadithi fupi.

Mwanaume wakati anatoka kuanza safari ya kikazi ya mwezi mzima,mke wake alimpa package ya condom akimwambia awe makini huko aendako akizidiwa atumie ndom.

Mwanaume akafurahi akaona mkewe anamjali,lakini kabla hajatoka nyumbani mkewe akamwambia,mumewangu nimejisahau nimekupa condom zote,naomba unipe angalau pakiti moja na mimi................I think you know what happened next.
 

Kumwekea mpenzi/mke wako kondomu wakati anaposafiri ni sawa na kumpa funguo au ruhusa ya kufanya uzinzi na uasherati.
 
Usithubutu kuwaza ama kufikiri kama hilo linawezekana ndani ya ndoa!Itakuwa maigizo tu na si tukio halisi
 
Ha ha ha! Nadhani KIPONDO kilimhusu huyu mwanamke, japokuwa huenda alikuwa anatest loyalty ya mumewe.
 
Kumwekea mpenzi/mke wako kondomu wakati anaposafiri ni sawa na kumpa funguo au ruhusa ya kufanya uzinzi na uasherati.
lakini katika uhalisia hasa kwa wanaume kwa safari ya mwezi mzima sijui......loading
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…