Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,303
- 50,470
Ngumu kuacha mi nataka niwe proffesional kabisa siyo huu wa kuunga ungaTutaacheje kwa mfano asili yetu.
Ngumu kuacha mi nataka niwe proffesional kabisa siyo huu wa kuunga ungaTutaacheje kwa mfano asili yetu.
Nipo Mwanza mkuu..Mkuu nina uhakika kama eneo unalokaa kuna wangoni na wanyakyusa wengi waulize hapo lazima watakuwa wanafahamu hiliii JASIRI AACHI ASILI
tatizo umemwambia ambacho hujaulizwa...Nami hujanielewa.
Nimekwambia kwamba.
Kabla uchawi haujaanza Yesu alikuwepo.
Porojo na propagandaTIBA NDOGO YA KUJIFUNGUA
WAKATI WA KULALA CHUKUA UKINDU MMOJA KISHA NUIA.
SEMA( MM FLAN BIN FLAN NIMEFUNGWA ILA ALIYENIFUNGA SIMJUI,NA SIJUI KAMA MWANAUME AU MWANAMKE, BASI NA MM NAJIFUNGA.)KISHA FUNGA UKINDU HUO NA UWEKE CHINI YA MTO HALAFU LALA.
UNAPOAMKA ASUBUHI SEMA NILIJIFUNGA MWENYEWE NA NILIFUNGWA NA NISIYEWAJUA. BASI NIKIFUNGUA NIFUNGUE VIFUNGO VYOTE NA NIWE HURU. KISHA FUNGUA HALAFU HIYO KAMBA KAITUPE ILA SIO JALALANI
KWA UWEZO WA M/MUNGU UZITO UTAPUNGUA
kwa tunaoamini uchawi upo.
Kumfunga mtu ni kitendo cha kumzuia mtu asifanye jambo fulani katika hali ya kawaida na alifanye kinyume na kawaida
mfano mwanaume anaweza kumfunga mwanaume mwenzake asisimame uume wake kutokana na mwanaume huyo kutembea na mkewe na kuonywa bila kukataa au kusikiliza maonyo aliyopewa hali hii kwa mwanaume atadumu nayo sana mpaka atakapogundua chanzo cha tatizo lake la nguvu za kiume limetokana na kifungo lakini pia mwanamke anaweza kumfunga mumewe asifanikiwe kumuingilia mwanamke mwingine yoyote n.k. huo ni mfano wa mtu kufungwa kichawi kwa jambo lolote basi utakuwa katika utofauti mkubwa katika lile ulilofungwa
Nini wanafanya mpaka wawe wamefanikiwa kukufunga???
Wanachukua moja ya vitu vinavyotokana na wewe kama vile jasho,mate.,mavi,mkojo,shahawa pamoja na nguo zako itachukuliwa nguo yako na itaenda kuchanganywa na nguvu za kichawi ambazo huambatana na dawa na maneno yao ya kishirikina na huzichukua kwa pamoja na kwenda kuzifukia katika sehemu kuu tatu
1 katika makaburi huku wakishafukia wallahi utahangaika sana kupata suluhu ya jambo lako iwe nguvu za kiume,kazi,uzazi,mume,mke,kuoa au kuolewa utasota na utamaliza muda sana mpaka ugundue kilichofanywa
2 katika kisima cha kale au kilichokauka hapa napo ni katika vituo vyao muhimu katka ulozi na kituo hichi hupendelea kufukia nywele au kucha za mhusika
3 katika jalala,kihame,na gogo lisilochimbwa pia humu hutumika katika kufunga mtu au jambo sanasana kesi hufungwa humu na ndo hapo utasikia mtu anaamua kuachana na kesi yake japo ni haki yake aisee uchawi bhana!
Hizo ni njia na namna zitumikazo katika kumfunga mtu
DALILI ZA ALIYEFUNGWA
1.utakuwa mtu usiye na maamuzi aidha katika kazi,au kwa mkeo,mumeo,muajiri wako na utashindwa hata kujifanyia maamuzi binafsi katika mambo yako ya msingi utashindwa kujiamulia
2 utakuwa mwingi wa kudhulumiwa kwa maana mwepesi wa kutoa mgumu kurudishiwa hapa mtu akikukpa hela utampa kwa wepesi ila kurejesha inakuwa mtihani hapa ujue umefunguliwa milango ya kutoa na umefungwa milango ya kuingiza utalipwa madeni yako lakini kwa shida sana
3 kama unatafuta kazi utaipata kwa shida sana na itakuwa na misukosuko mingi pia hutadumu nayo kutokana na migogoro na wakati mwingine inatokea mwenyewe tu huipendi kazi yako na utaiacha
4 utakuwa na pesa lakini hutaweza kuitimiza ndoto yako japo uwezo wa kipesa wa kuitimiza upo ila utajikuta ukipata pesa ndo chanzo cha mitihani aidha kuumwa mkeo,mumeo,wanao,ndugu na jamaa hatimae hela kuishia kwenye matatizo
5.upatikanaji wa pesa kuwa mgumu au mwepesi lakini pesa kuisha bila utaratibu na hupati pesa mpaka umalize uliyonayo
6 watu hawatakuamini na utatiliwa shaka hadi mkeo au mumeo hatakuamini
7 utajengewa chuki na watu wa karibu kama mama au baba au dada watakuchukia sana mpaka uwaze mabaya hata kujiua
tibazetutz@gmail.com
huo ni ukweli sio utaniAcha utani
Unatumia jina la Yesu kujifungua na vifungo vya Giza.Unafanyaje maana Yesu tunaye siku mingi na manabii na watumishi wanaoongea naye kwa niaba yetu wanamtumia kibiashara
Dalili nyingine ya kufungwa,ni kukuta kadi ya ccm nyumbani kwako
Mkuu uko njemaTIBA NDOGO YA KUJIFUNGUA
WAKATI WA KULALA CHUKUA UKINDU MMOJA KISHA NUIA.
SEMA( MM FLAN BIN FLAN NIMEFUNGWA ILA ALIYENIFUNGA SIMJUI,NA SIJUI KAMA MWANAUME AU MWANAMKE, BASI NA MM NAJIFUNGA.)KISHA FUNGA UKINDU HUO NA UWEKE CHINI YA MTO HALAFU LALA.
UNAPOAMKA ASUBUHI SEMA NILIJIFUNGA MWENYEWE NA NILIFUNGWA NA NISIYEWAJUA. BASI NIKIFUNGUA NIFUNGUE VIFUNGO VYOTE NA NIWE HURU. KISHA FUNGUA HALAFU HIYO KAMBA KAITUPE ILA SIO JALALANI
KWA UWEZO WA M/MUNGU UZITO UTAPUNGUA
Dawa kubwa kuliko zote ni maombi ya Vita tu, unaiamuru ardhi Kwa damu ya Yesu Ufunuo 12:11 damu iliyomshinda Shetani.TIBA NDOGO YA KUJIFUNGUA
WAKATI WA KULALA CHUKUA UKINDU MMOJA KISHA NUIA.
SEMA( MM FLAN BIN FLAN NIMEFUNGWA ILA ALIYENIFUNGA SIMJUI,NA SIJUI KAMA MWANAUME AU MWANAMKE, BASI NA MM NAJIFUNGA.)KISHA FUNGA UKINDU HUO NA UWEKE CHINI YA MTO HALAFU LALA.
UNAPOAMKA ASUBUHI SEMA NILIJIFUNGA MWENYEWE NA NILIFUNGWA NA NISIYEWAJUA. BASI NIKIFUNGUA NIFUNGUE VIFUNGO VYOTE NA NIWE HURU. KISHA FUNGUA HALAFU HIYO KAMBA KAITUPE ILA SIO JALALANI
KWA UWEZO WA M/MUNGU UZITO UTAPUNGUA
Hii kweli mana kabisa nafukiri mtoa mada alisahauDalili nyingine ya kufungwa,ni kukuta kadi ya ccm nyumbani kwako
Nimekuelewa sana mpaka nahisi na wewe ulikua mchawi siku za nyuma ila ukaamua kumrudia mungu kwa sababu unazozijua wewe mwenyewe. ila hongera sababu kumrudia mungu ni jambo jema sana.Dawa kubwa kuliko zote ni maombi ya Vita tu, unaiamuru ardhi Kwa damu ya Yesu Ufunuo 12:11 damu iliyomshinda Shetani.
Unaisemesha ardhi ya nyumbani kwenu, ulikooa au kuolewa na, ardhi ya mahali unapoishi na au ardhi yoyote iliyotumika kukuroga, Unaniambia hivi ardhi na ukiwa popote unaomba.
"Wewe ardhi, sikia neno la Bwana Mungu wako aliyekuumba, ardhi fungua kinywa chako umeze uchawi wote niliofanyiwa sawa sawa na Hesabu 16:29-33".
"Ardhi mtii Mungu wako aliyekuumba sawa sawa na Hesabu 16:29-33,fungua kinywa chako ardhi umeze uchawi wote juu yangu".
Omba Kama dk 3 hivi au zaidi, omba kila Siku hadi uone matokeo.
Ukisema eti na wewe utoe uchawi Kwa kuroga, Wachawi watakutesa mno, Wachawi wakishakuroga wanakuwekea alama, alama hiyo popote unapokwenda Wachawi wengine wataiona na wataendelea kukuroga tu.
Na wakijua unatumia Dawa za uganga kujinasua, Wachawi huwa wana ushirikiano Sana, wataalikana hadi Wachawi wa Malawi waongezeze dawa za kukuroga ambazo kuzitegua ni mbinde.
Dawa ya uchawi ni kumtegemea Mungu wa kweli Kwa kufanya maombi ya Vita, hapo hata waje Wachawi wa dunia nzima hawakuwezi maana ni hadi wamshinde Mungu ndo wakupate na wewe, kitu ambacho hakiwezi kutokea hadi watakuacha wenyewe .
Kweli asee! Nimesoma mahali kuwa wachawi wote duniani wanaungana kumlaani Trump, yaani wanamloga hadi akimbie ofisi mwenyewe sasa ku a mapambano kati ya wachawi na waombaji. Nimesoma kwenye www.mwanzonews.comItabidi kuwe na jukwaa la uchawi,ulozi,uganga na uaguzi...
Mmekuwa wengi.
Mh kweliYesu ndio kiboko ya Uchawi na nguvu za giza.Njoo kwa Yesu upate Amani.
Acha uwongo wewe lohYesu yupo kabla ya Binadamu kuumbwa.Yesu alishiriki kuumba Binadamu.Kabla ya Adamu na Eva Yesu alikuwepo.