Je, ulishawahi kula tunda kwa punguzo kubwa la bei?

KISIWAGA

JF-Expert Member
Oct 22, 2015
8,023
16,546
Nakumbuka mwaka 2013 nikiwa machimboni huko Geita, machimbo mapya ambayo yalikuwa ndo kwanza yameibuka na hivyo kulikuwa na ukame wa totoz.

Mademu waliokuwepo walikuwa wakitoa huduma kwa kuringa sana kwani demand ilikuwa kubwa kuliko supply

Sasa siku moja tukiwa bar mshenzi tukipiga vitu(bia) nilikaimbisha kabinti fulani hivi kabichi kalikokuwa ndio kahudumu, nako bila hiyana kakaniuliza nina bei gani, nikakadanganya kuwa niko na elfu 20 basi kakasema poa ngoja bar ikifungwa nasepa nako gesti.

Kumbe kale kabinti kalichokuwa kakifanya ni kupokea ofa toka kwa wanaume tofauti tofauti ili baadae kasepe na mwanaume alietoa dau kubwa

Basi kumbe kwa siku hiyo mimi ndiye niliyekuwa nimetoa dau kubwa wengine waliahidi -20000 so kila kalipokuwa kakihudumia kanakuja kwenye meza yangu kuchonga kidogo

Ilipofika mida ya saa 4.30 usiku nikakaambia nimechoka nataka nikalale basi kakaniambia nitangulie gesti ya jirani tayari kameshachukua chumba

Nikasepa zangu nikalala,ilipofika saa 6.10 usiku hako kakaja tukalala, tukapiga story kidogo ilipotimu saa 7 usiku nikakaomba mzigo kakaniomba pesa nikatoa noti moja ya 5000 nikakapatia kakagoma kuichukua kakanihoji kwani tulikubaliana shilingi ngapi

Nikakachana ukweli kuwa pesa pekee niliyo nayo kwa wakati huu ni hiyo 5000 kwahiyo kama vipi kaichukue, hiyo -15000 iliyobaki nitakatoa kesho

Kakanilaumu sana kakisema ningekaambia mapema kwani kwenye hiyo 5000 pesa yake itakuwa ni buku 2 tu maana tayari kamelipia chumba sh buku 3,nikakapooza pale kwa maneno matamu lakini wapi hakanielewi

Basi kakasema tulale tukiwa na nguo maana haiwezekani kanipe utamu kwa buku 2, tukalala.

Ilipotimu saa 9 usiku kakaniamsha kakaniambia saa tutalaleje na nguo hebu tuvue bwana, tukavua pale kakasema ok tutalala ila hatufanyi chochochote, tukalala.

Ilipotimu saa 9.45 usiku kakaniamsha na kuniuliza je ni kweli niko na hiyo hiyo buku 5 mfukoni nikasema ndiyo, kakaichukua na kuniambia kananipatia mchezo ila kesho nihakikishe nakapelekea hiyo -15000 iliyobakia

Tukafanya masuala pale huku kakijitahidi kunifanyia maufundi ya hatari nadhani ili nichizike kesho nikapelekee ile -15000

Asubuhi nayo hiyoooo tukaagana huku muhuni nikiwa natabasamu kwa kula tunda la 20000 kwa buku 2 tu !

rikiboy & Zero IQ & Kitangiri15
 
148175013_465951804439411_4631704196708861412_n.jpg
 
Kizazi cha kujisifu na kuhamasisha uzinzi kinakua kwa kasi ya ajabu sio mtaani , mitandaoni ,muvi wala kwenye miziki
 
Unajiona mjanja. kumbe unakula malaya kavu

Mjanja anatumia condom au. Kupima kabisa,

@ukimwiuponaunaua
Kuna jamaa mmoja namjua yeye huwa anatembea na kipimo kila sehemu kabla ya yote anampima kabisa demu ndio mambo mengine yaendelee
 
Back
Top Bottom