Je Ulikueko enzi zetu?

Ukjsahau unakuwasha na wewe



% kubwa ya hiyo michezo nimepitia vp kupaka upupu kwenye madawati
 
% kubwa ya hiyo michezo nimepitia vp kupaka upupu kwenye madawati
Nilihi kupaka upupu kwenye dawati la mwalimu Karuta pale Buzuruga Shule ya msingi, nyakato mwanza......
Nakumbuka yule mwalimu alikua mkali kupita kiasi, kisha alikua akiingia class lazima akinje mikono ya shati lake, kisha anakaa kwenye dawati la mwalini na kuegesha mikono yake pali juu ya meza ya dawati.
Skuhiyo nilipo paka upupu pale..... Mwalimu aliwashwa vibaya mno, kilicho tokea baada ya kubainika ni siri yangu......
 
Haya yalikua ya lazima uyapitie.
Labda useme tu kwamba haukuwepo
Hasa sisi tuliozaliwa bushi
Hakuna hata moja lisilonihusu hapo
Sema tu ngoja nikumbuke vizuri Paprika shoga hebu nikumbushe vizuri make wewe mwenzangu kabisa wewe kwa ile michezo yetu ile haya 100% yanatuhusu

Nitarudi
 
Ni kweli Kuna watu hawayajui kabisa hayo
Hasa wale wa kishua wale au wale waliozaliwa manchi makubwa kubwa huko wakakulia na kusomea huko

Labda nao waje watupe michezo ya kitoto / kishule / ya kishua yahuko nchi za watu nasi tujue


Smart911
Namba 6 inawahusu, teknolojia ilikuwa ishu

Namba 16 inawahusu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…