Sayansi ya teleportation ni sehemu katika sayansi ya Quatumn Mechanics.inazungumzia kuwepo kwa uwezekano wa kumsafirisha mtu kutoka Dar kwa njia ya vipande vyake vidogo vidogo mfano electrons zake na kwenda kumjenga tena Newyork akiwa vilevile pamoja na kumbukumbu zake zote.swali lilopo ni je huyu mtu wa Newyork kweli ni yuleyule aliyekuwa Dar?kumbuka yule wa Dar hatakuwepo tena.Wajuzi tafadhali tueleweshe?
.