Je, shetani yupo? Anaishi wapi?

Kijana13 seems una ka elimu kapya, hebu funguka more
Sina hiyo Elimu mkuu, nlisikia tu clip ntaitafuta ntaiweka hapa .. Jamaa alivyoeleza jinsi alivyojiunga na hadi kufika level za juu hadi shetani akamwita na kumkubali kwa kazi alivofanya.
 
mshana jr nakupinga
Kuzimu nayo ni state of mind?
Kuna kuzimu tatu
1.kuzimu motoni huko kunakofikirika wako wafu wenye dhambi
2.kuna kuzimu ya dunia..kule wanakoishi watu wenye shida kubwa hasa mfano hospitali magerezani na hata majumbani mwetu na mitaani
3.kuzimu ya state of mind..mtu hana shida kubwa lakini anajitengenezea stress na frustrations za kufa mtu.........(kuzimu ni dhana pana)
 
Ni dhahiri asilimia kubwa ya wanaofanya makosa huyahusianisha na kitu kisichoonekana na kinachokinzana na Mungu kiitwacho shetani. Je, shetani kweli yupo? Anaishi mazingira yapi na kwa nini Mungu anashindwa kumdhibiti ili binadamu waishi kwa ustaarabu na kutotenda dhambi kabisa? Je, nani anaweza kuzithibitisha theologies za huyo shetani kiumbo, mtazamo, mnyumbuliko na kiakili bila kuhusianisha imani?

Learning has no boundaries......
Kwanza kwani uwepo wa shetani ni mpango wa mungu au ni kufeli kwa mungu?
 
Mkuu Mshana Jr

Naomba uelezee kidogo hili swala. Au ikikupendeza fungua thread kueleza kwa undani.
Kuna shetani yule tunayehubiriwa kwenye vitabu vya dini mwenye sura ya kutisha na matendo mabaya ya kuogofya sana
Kuna shetani wa maisha huyu yupo popote na anavutia mno....dhambi nyingi za kila siku hutokana na huyu
Kuna shetani mawazo, !ulikuwa huna nia ya kutenda uovu wala kukasirika wala kisasi Lakini anatokea mtu anakuudhi kwa kiasi kisichovumilika.halafu unatenda ubaya
 
Je, uwepo wa shetani ni mpango wa mungu au ni kufeli kwa mungu?
 
Ni mpango kamili wa Mungu kwakuwa Mungu atabaki Kuwa Mungu na hajawahi kufeli kushindwa wala kukosea
Kama ni mpango wa mungu basi huyo shetani anafanya kazi kwa kufuata order za mungu. Hebu jiulize, kwanini anasema atawaadhibu watu pamoja na shetani wakati yeye ndo mtoa order na shetani anatekeleza
 
Kama ni mpango wa mungu basi huyo shetani anafanya kazi kwa kufuata order za mungu. Hebu jiulize, kwanini anasema atawaadhibu watu pamoja na shetani wakati yeye ndo mtoa order na shetani anatekeleza
Rejea uumbaji wa dunia, habari za eden Adam na Eva kisha Kaini na Able na mfuatano wote utapata majibu ya maswali yako mengi ila kama wewe ni mwamini
 
Rejea uumbaji wa dunia, habari za eden Adam na Eva kisha Kaini na Able na mfuatano wote utapata majibu ya maswali yako mengi ila kama wewe ni mwamini
Hata nikirejea kwote huko, bado swali litajirudi kuhusu uwepo wa shetani. Maana shetani ndo alimlaghai hawa. Maana yake ni kwamba shetani alifuata order ya mungu kutokana na jibu lako kuwa uwepo wa shetani ni mpango wake. Kwahiyo uovu wote alionao shetani sio wakwake kwakua yeye ni mfuata order tu zinazotolewa na mungu
 
Kabla ya yote shetani aliasi mbinguni na kufukuzwa naye akaona akatafute wafuasi na akamtumia mwanamke kama mlango wake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom