Ulimwengu ni kamanda pia?Kwani ukiwa kamanda unakatazwa kuwa mwandishi? Mbona Charles Charles yule wa TAZAMA anajulikana kuwa ni gamba kongwe na anawadhifa chamani?
Acha maswali ya kiduanzi
Kwa hiyo siku ile alivyopigwa pale Central Police alikuwa kama mwandishi wa habari ama kamanda? Kama ni kamanda, sasa mbona mlikuwa mnasambaza propaganda kuwa Waandishi wa habari wamepigwa?Kwani ukiwa kamanda unakatazwa kuwa mwandishi? Mbona Charles Charles yule wa TAZAMA anajulikana kuwa ni gamba kongwe na anawadhifa chamani?
Acha maswali ya kiduanzi
Mbona marini hassan wa TBC anajulikana kuwa mfuasi mzuri wa ccm lakini yupo tv ya taifa, hakuna shida mkuu
imeumaWadau, amani iwe kwenu
Nimeona picha ya Red Brigade wamebeba jeneza lenye mwili wa Mwandishi nguli marehemu Josephat Isango. Binafsi nilikuwa namtambua Isango kama mwandishi na si kamanda wa CHADEMA.
Kutokana na picha hizi zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii, najiuliza, je ni sahihi kwa CHADEMA kumzika Mwandishi nguli kama huyo kwa taratibu za kichama? Kama jibu ni ndio, je waandishi wa aina hiyo wataheshimika kwa kazi zao ama ufuasi ndani ya vyama vya siasa? Je kazi yake kama mwandishi wa habari inaaminika kwa kiwango gani?
View attachment 497931
Mbona wakiwa hai huwa wanjifichaficha kuwa siyo Chadema? Shida huwa ni nini?Chadema, Chadema ...tooo
Kwani alichoandika Lizaboni ni utani au ni ukweli?Lizaboni acha matani na kifo
Tatizo siyo kugombea, tatizo ni wakati wa kazi mbona huwa hawaweki mambo hadharani kuwa ni wanachadema na kujificha kwenye kivuli cha wandishi wa habari? Waige mfano wa Kubenea kuliko kuwa vuguvuguMkuu Hivi huna Istoria ya Ndg Isango?
Huyu ni Mwanachadema kindaki ndaki na Mwaka 2010 Aligombea Ubunge kwenye Jimbo la Singida Mjini kwa Tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema akishindana na Mo Dewji wa ccm.
Hivyo Usishangae Maziko yake leo Kubebwa na Chama cha Chadema Ndugu Lizabon.
Hahaaa, watoto wa Mwangosi bado wanawaangalia kweli?Nimekuelewa, ila ndio wanavizia mwanya hata kwenye misiba kupaisha bendera yao. Na labda alikuwa mmoja wa waliokuwa wanapokea bahasha kuwasaidia kuwepo.
Natumaini wataiangalia familia ya Marehemu bila kuwasahau mbeleni.
Bora wewe umekuwa mkweliimeuma
Wadau, amani iwe kwenu
Nimeona picha ya Red Brigade wamebeba jeneza lenye mwili wa Mwandishi nguli marehemu Josephat Isango. Binafsi nilikuwa namtambua Isango kama mwandishi na si kamanda wa CHADEMA.
Kutokana na picha hizi zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii, najiuliza, je ni sahihi kwa CHADEMA kumzika Mwandishi nguli kama huyo kwa taratibu za kichama? Kama jibu ni ndio, je waandishi wa aina hiyo wataheshimika kwa kazi zao ama ufuasi ndani ya vyama vya siasa? Je kazi yake kama mwandishi wa habari inaaminika kwa kiwango gani?
View attachment 497931
Ulimwengu ni kamanda pia?