Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 57,766
- 92,209
- Thread starter
- #81
Hahahahahaa kwahio you mean kwamba watajwe majina hadharani? HahahaKwa kutendea haki Maombi ambayo mkuu wa nchi huomba wananchi wamuombee.
Hawa watu walioleta na aliyesoma hilo zuio waletwe adharani na kutumbulia.
vinginevyo itakuwa ni kutufitinisha na Mwenyezi Mungu.
nje ya hapo, dumisha amani tu, kila mtu afikilie atatoka vipi kimaisha katikati ya dhuruma, hakuna jipya.