ze-dudu
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 17,438
- 22,423
yupo wapi huyoCol Isaack Maliyamungo atakua na majibu sahihi huko aliko
yupo wapi huyoCol Isaack Maliyamungo atakua na majibu sahihi huko aliko
Hii sio kweli mimi nachanganya akili 1985 hilo swali lilikuepo kichwani kwamaana kila unapo ambiwa amini kachinja vichwa vyenyewe ni viwilitu na ndo hivyoivyotu na friji ni hioiotu na lile lori ni lileliletu je kama ingekua ni tabia yake kwanini kusiwe na matukio ya kujirudia ruduia? Jee huwoni lua hilo jambo kua lili andaliwa?..Hii historia ina ukweli au iliwekewa chumvi?
Kwamba kipindi cha idd amin watu waliokuwa na msimamo tofauti na yeye walikuwa wanatekwa/wanapotea na kama muhusika alikuwa ni adui yake basi alimkata kichwa na kukiweka ndani ya Friji na kila akipata muda hufungua Friji na kukikebehi kichwa hicho?
Wajuzi mtufahamishe
Hii historia ina ukweli au iliwekewa chumvi?

Chinmbe chinembeeeeeee mnatumia simu vibaya badala ya kugoogle uangalie ukweli unaanza propaganda za kusafisha watu ,iddiamin ni moja ya watu katili hatari kuwHi kutokea angalia video zake you tube,acha kutetea ujingaAcha ushamba....!kumbuka wkt ile technogy ya video ilikuwa hadimu.....!
Kama aliweza kuteka watu na kuwapakia kwenye tipa na kwenda kuwamwaga mtoni,nimesahau kdgo jina la mto,angeshindwa nini kukata vichwa vyao akiwa tiari ashawaua....
Na ukisubiri ushahidi wa video za Iddy Amin humu utakaa sana kijana.
Hii historia ina ukweli au iliwekewa chumvi?
Kwamba kipindi cha idd amin watu waliokuwa na msimamo tofauti na yeye walikuwa wanatekwa/wanapotea na kama muhusika alikuwa ni adui yake basi alimkata kichwa na kukiweka ndani ya Friji na kila akipata muda hufungua Friji na kukikebehi kichwa hicho?
Wajuzi mtufahamishe
Uko sahihiJee hayo tuliyajua kabla ya vita ya kagera? Hapana ile ilikua ni propaganda ya kivita. Unapigana na adui kwa silaha na maneno ya kukuchafua ili watu wako wakuchukie
Una ushahidi wa ukatili wa Iddi Amin? Kama mlimvamia mlitaka awachekee? Kwenye vita kuna kuuwa na kuuwawa.Chinmbe chinembeeeeeee mnatumia simu vibaya badala ya kugoogle uangalie ukweli unaanza propaganda za kusafisha watu ,iddiamin ni moja ya watu katili hatari kuwHi kutokea angalia video zake you tube,acha kutetea ujinga
MBONA UNAPINGANA NA MTOA MAELEZO...!? yeye anadai video zipo youtube, sisi hatuza jiona ndio tunamtaka azilete humu
Bahati mbaya huko kwenye ma google wanaandika wanachotaka uamini.Chinmbe chinembeeeeeee mnatumia simu vibaya badala ya kugoogle uangalie ukweli unaanza propaganda za kusafisha watu ,iddiamin ni moja ya watu katili hatari kuwHi kutokea angalia video zake you tube,acha kutetea ujinga