Yaa,mwambie aingie google aone Specs za S500, hadi jamaa na THAAD zao wameanza kuingiwa na kiwewe. Lockhead nao wanaangalia nini cha kufanya. Wewe kitu kinauwez wa kuona Kilometa 200 angani yaani height,na umbali kilometa 3000-3500 horizontal/radius, tuseme ni LxH=3500*200,hiyo kitu ujue ni noma. Kwamba hata uwe wapi kwa kimo cha kilometa 200 kutoka ardhin jamaa wanadetect na kufanya yao. Speed yake zaidi ya 25000km/h yaani safari ya hapa hadi china mara 3, lakini hiyo ni kwa lisaa 1 tu. Yapasa kujua tu kuwa S400 ina uwezo wa kupambana na ICBM na the like kwa speed ya 17000km/h. Lakini hiyo S500, ni hizo speed 25000km/hHakuna nchi zaidi ya Urusi ina miliki S-400. Serikali ya Urusi ilipiga marufuku export ya hii mizinga anzia 2007 ilipoanza kutumika rasmi .. hivi karibuni ndio wameanza kuonyesha nia ya kuwauzia wachina. Inasemekana warusi wako mbioni kufyatua S-500 ndo maana wameruhusu S-400 iuzwe kwa nchi za kigeni sasa