simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,418
- 9,206
Daniel Wanjiru Kenya mbioni kushinda akifatiwa karibu na Bekele Ethiopia.
Unampongeza mtu ameshika nafasi ya tano???? He should be the firstWell Well Well done Simbu finished at 5th position
Unampongeza mtu ameshika nafasi ya tano???? He should be the first
Leo nahisi atakuwa katumia muda mzuri zaidi...mtanzania gani aliweza kumantain hiyo nafasi kwenye mbio hizo??Mbona sasa imekuwa mazoea kila akishiriki simbu nafasi yake ni tano.Bado tuna safari ndefu kuelekea Tanzania ya marathon
Mimi namuona kuwa ni tishio haswa hasa hasa ukitambua age yake...lakini kadri siku zinavyoenda ndivyo anavyobadili na kufanikiwa katika muda nadhani mwezi august ataibeba ile GOLD.Wataalam wanasema kwenye marathon pia kuna team work hasa kama nchi moja ina wanariadha zaidi ya mmoja. Utakuta mmoja kazi yake kufanya harassment kwa opponent anayehofiwa, au mwingine kufanya blocking kwa opposition. Simbu alikuwa peke yake kwa hiyo kwa kuyapitia yote hayo kama yatima kajitahidi.