Unakosea,,,ukisema hailipwi yte una maanisha nn?? Navyoelewa unaweza kulipa kiasi kdgo wakakubali ufunge ndoa then utakua unalipa kidgo kidgo na pia wao wanahaki ya kukusamehe kiasi kilichobaki... Ila sio kusema mahari hailipwi ytemahari huwa hailipwi yote...
Kam una uwezo wa kuilipa yote ruksa kama Huna mtakubalianamahari huwa hailipwi yote...
Kuomba kupunguziwa hiyo inakubalika.
Kwa mfano ,mwanaume kapangiwa alipe million 3,wakati ana uwezo wa kulipa million 1,kuomba kupunguziwa hapo ni lazima,ataacha kuoa kisa mahari kubwa??
ahsante kwa ufahamu huo na je baada ya kulipa hiyo mahari mwanaume anaruhusiwa kumchukua mkewe na wakaish kama mke na mume wakt wakisubir kufunga ndo kabisa?Kuomba kupunguziwa hiyo inakubalika.
Kwa mfano ,mwanaume kapangiwa alipe million 3,wakati ana uwezo wa kulipa million 1,kuomba kupunguziwa hapo ni lazima,ataacha kuoa kisa mahari kubwa??
Kwa Mimi ninanyofahamu. Ni mpaka ndoa ifungwe ndo muwe mke na mume ,kihalali kabisa. Zaidi ya hapo, mtaendelea kuzini to.ahsante kwa ufahamu huo na je baada ya kulipa hiyo mahari mwanaume anaruhusiwa kumchukua mkewe na wakaish kama mke na mume wakt wakisubir kufunga ndo kabisa?
Kuna makabila ukiambiwa mahari bila kulia lia upunguziwe hawakupi binti yao inaonyesha insubordination fulani. Hata wakisema shillingi moja lazima uombe kupunguziwa. Hapo unaonekana mwanaume wa shokaInategemea utakavyojieleza, kuna wanaofunga ndoa baada ya mahari kulipwa nusu, wengine bila hata ile kidogo. Kuwa mwangalifu, makabila mengine mke akifa hawaziki mpaka umalize mahari ya mtoto wao.
Kw upande wenu anaepanga mahari ni mwanamk ila kw sisi wakristo kinachoangaliw san ni ndoa pia ikiambatan n makubalianokwa upande wa islam mara nying ndo huwa hivyo sjajua kw upnde wa kikitro nako ipo ivyoivyo!!???
Habarini wana JF,
Je mahari yaweza kulipwa nusu yaani kama imeshatajwa kiasi gani halafu anayelipa akaomba apunguziwe ni sahihi?
Na pia ikitokea ameilipa lakini hajaimalizia yaani amelipa nusu yake au hata robo 3 yake ya mahari yenyewe na vitu vingne nayo ni sahihi?
Shukrani