Je Mahali Inaweza Kutumwa Kwa M_PESA!?

mzama chumvini

JF-Expert Member
Mar 14, 2016
730
641
Sabakher Wadau;
Kuna Dogo Hapa Kitaa Kaja Kuniomba Ushauri! Kwa Maana Mimi Ni Mmoja Kati Ya Vijana Kumi Tunaoheshimika Hapa Kitaa.
Ipo Hv; dogo alimpata Mwanamke Facebook! Wakatongozana! Wakaonana! Wakagumiana! Demu Akarud Kwao Tanga! Sasa Dogo Kakolea Na Hana Ndugu Hapa Mtaan!! Ikabid Amueleze Yule Mwanamke Kuwa Mi Nataka Kukuoa Ila Sina Ndugu Wa Kuleta Barua Na Mahal! Yule Mwanamke Akamwambia Usijal Baba Angu Mzungu! Kwel Jamaa Akampigia Baba Mkwe! Baba Mkwe Akamwambia Kuwa Atume Kwa M _ Pesa!!
Sasa ndo anataka ushaur atume au Aache? Nipe jibu nimshaur
 

= mahari
 
Duh! Hakuna kitu kama hiko, hapo dogo anapigwa Changa la macho tu, watu wanakula hela hamna kinachoendelea
 
kama mwanamke mwenyewe atakuwa anatoka sehemu inaitwa kighare upareni huko ipo haja avae
kile kilima ni hatareeeeee
 
WW UNAANGALIAGA TYPING ERROR TU?! OVYOO!

Hapana. Soma vizuri, hayo ninayoyasahihisisha siyo "typing error"s. Huo ni ujinga wa kufundishwa na mwalimu mjinga katika shule jinga isiyoelewa tofauti ya "R" na "L" ni nini.
 
Mahari kwa m-pesa, ndoa Mtandaoni
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…