Djob Nkondo
JF-Expert Member
- Jan 25, 2015
- 261
- 201
Baada yabuchaguzi wa kanda ya nyasa na matokeo kutangwazwa aliyekua mgombea wa ukanda huo kwa nafasi ya uanyekiti leo katimkia ccm. Katika matokeo ya uenyekiti wa kanda hiyo ambapo mheshimiwa Joseph mbilinyi aliibuka na ushindi wa 51% na mgombea mwenza mheshimiwa Mchungaji Msigwa aliibuka na asilimia 49%. Na alionyesha kutokulidhishwa na matokeo hayo na kuahidi atakata rufaa. Je kuahia kwake chama cha zamani ndio rufaa alochagua ili Panapo uzima wakachuane kutafuta ubunge kwenye jimbo na analokusudia kugombea bwana mbilinyi na mheshimiwa spika atupe karata turufu dhidi ya mama ??