Je, Kuwa na mchumba na msifanye mapenzi mpaka ndoa, inawezekana kwa kizazi cha leo?

Be patient dear mambo mazuri hayataki haraka.... You are lucky kupata kijana ambaye haientertaining those stuffs... Keep pray and God will reveal more to you kama kuna yaliyojificha in secret.. Otherwise inawezekana sana, I am a witness .. .. Thanks..
Love is sweet again!
 
wadau salam!
Naomba kujua kutoka kwenu kuwa jena inawezekana kuwa na mchumba na msisex mpaka ndoa?

Nimeuliza hivyo kwakuwa mchumba wangu simuelewi amegoma kunipata raha mpaka tutakapo funga ndoa, Nimejitahid kumueleza jinsi ambavyo napata shida kwa hisia niwapo nae lkn amekomaa namsimamo wake. Hofu yangu nikwamba nisijeuziwa mbuzi kwenye gunia kumbe mtu si ridhiki.
Tulipo kutana mara ya kwanza mpaka ya tatu alidai tukipima tu hakutakuwa na shida tutapeana raha cha ajabu baada ya kupima tukaonekana wote tupo poa amekuja na single nyingne et tungoje mpaka ndoa.
wadau nisaidieni
mim naishi kwangu namaisha yangu sina dhiki kwakweli Mungu kanijalia kazi nzuri, nahudumia kila kitu lkn dushe lake ananinyima. kweli huyu mzima au ndo hivyo tena? kwangu mim dushe ndio uhitaji wangu mkubwa.
Achana naye, njoo kwangu nikupe hizo raha
 
AMA KWELI DUNIA INAZUNGUKA JAPO HATUWEZI IONA IKIWA INAZUNGUKA!! Kwa mara ya kwanza naona haya maneno kutoka kwa msichana!!
 
Be patient dear mambo mazuri hayataki haraka.... You are lucky kupata kijana ambaye haientertaining those stuffs... Keep pray and God will reveal more to you kama kuna yaliyojificha in secret.. Otherwise inawezekana sana, I am a witness .. .. Thanks..
Soma hii meseji yake...
Na nikingoja nikakuta hawez kazi? mi nataka mara moja thn tutawait
 
wadau salam!
Naomba kujua kutoka kwenu kuwa jena inawezekana kuwa na mchumba na msisex mpaka ndoa?

Nimeuliza hivyo kwakuwa mchumba wangu simuelewi amegoma kunipata raha mpaka tutakapo funga ndoa, Nimejitahid kumueleza jinsi ambavyo napata shida kwa hisia niwapo nae lkn amekomaa namsimamo wake. Hofu yangu nikwamba nisijeuziwa mbuzi kwenye gunia kumbe mtu si ridhiki.
Tulipo kutana mara ya kwanza mpaka ya tatu alidai tukipima tu hakutakuwa na shida tutapeana raha cha ajabu baada ya kupima tukaonekana wote tupo poa amekuja na single nyingne et tungoje mpaka ndoa.
wadau nisaidieni
mim naishi kwangu namaisha yangu sina dhiki kwakweli Mungu kanijalia kazi nzuri, nahudumia kila kitu lkn dushe lake ananinyima. kweli huyu mzima au ndo hivyo tena? kwangu mim dushe ndio uhitaji wangu mkubwa.
Kwanza sitaki kuhukumu kwamba unatudanganya!!!!!... ila nahisi kuna kitu kinajichanganya hapa...

Nawashukuru wana JF: Siku ya harusi yangu

Habari zenu wanajamvi,

Napenda kuchukua nafasi hii kuwashukuru wanaJF wote, zaidi sana wale walijitokeza nilipotoa tangazo la kutafuta Mr. Right.

Napenda kuwataarifu kuwa tumeendelea na mikakati na taratibu za harusi na my Mr. Right ambaye nilimpata kupitia tangazo langu la mwezi Jan.2016,
binasi sikutarajia kama mambo yatakwenda kwa speed kubwa namna hii lakini ndivyo ilivyokuwa.

Taratibu zote zimekamilika na Jana tu ndo mahari yote imelipwa, kweli nina furaha na amani sana kwa hatua niliyofikia, namshukuru mchumba wangu kwa seriousness alionionesha.

Wandugu tarehe ya harusi imepangwa na Jumapili ya tarehe 6 march 2016 tangazo la kwanza la harusi yangu litatangazwa.

Tarehe ya harusi imeshapangwa na vikao vinaanza kesho, naomba tarehe nisiiweke wazi kwanza, nitaiweka wazi siku tatu kabla ya harusi. Asanteni
sana.

Wewe ambaye umetupia tangazo lako amini tu utampata unae mtaka.Usichoke wala kukata tamaa.
 
wadau salam!
Naomba kujua kutoka kwenu kuwa jena inawezekana kuwa na mchumba na msisex mpaka ndoa?

Nimeuliza hivyo kwakuwa mchumba wangu simuelewi amegoma kunipata raha mpaka tutakapo funga ndoa, Nimejitahid kumueleza jinsi ambavyo napata shida kwa hisia niwapo nae lkn amekomaa namsimamo wake. Hofu yangu nikwamba nisijeuziwa mbuzi kwenye gunia kumbe mtu si ridhiki.
Tulipo kutana mara ya kwanza mpaka ya tatu alidai tukipima tu hakutakuwa na shida tutapeana raha cha ajabu baada ya kupima tukaonekana wote tupo poa amekuja na single nyingne et tungoje mpaka ndoa.
wadau nisaidieni
mim naishi kwangu namaisha yangu sina dhiki kwakweli Mungu kanijalia kazi nzuri, nahudumia kila kitu lkn dushe lake ananinyima. kweli huyu mzima au ndo hivyo tena? kwangu mim dushe ndio uhitaji wangu mkubwa.
Inawezekana kama ni mlokole wa kweli,ila kama ni mtu tu wa kawaida bac atakuw anakuheshimu na anampango kweli wa kukuoa lakin anachepuka. Nimependa kwasababu ww si mnafik wala pretender kama wengine. Pia muombe Mungu kama unahisi hamu inataka kukuzid spidi epuka kuwa na mwanaume maeneo ya faragha zaid kumbuka Bible"ikimbie zinaa.." maana haipingiki, inakimbiwa
 
Ila sikulaumu sana maana pengine thread za humu zinakufanya upate ndoto za mang'amung'amu...
Unahofia kibamia , bao la jogoo au uhanisi kabisaaaa

KUMBUKA
hutakiwi kuishi katika utumwa wa mawazo ya watu wengine NA pia kuna watu wanatafuta wanaume aina hiyo ila hawawapati ila wewe umeokota almasi dodoma .......
Pia Kuna watu wana hofu ya mungu ndani yao hivyo , si rahisi kukengeuka na kuenenda kinyume na imani zao ......

Nina shaka na jinsia yako ila kama ni kweli..bhasi jamaa haumfai maana anastahili kupata mtu wa zaidi yako
 
Mwambie kuna kajamaa nahisi kananifuatilia... ila story zake nasikia kitandani anapiga game la kufa mtu... Ila mimi sina shida nae...

Kama kesho hajakugonga mpaka mashada...
 
Soma hii meseji yake...
I saw it dear that's why I told her to pray and even fasting and if there is hidden things God will reveal to her...the thing is we love short cut way and not God's way.. Mungu anajibu dear ni kummppa chance tuu kwa ku sacrifice by letting our fleshy to die.. Thanks..
 
Back
Top Bottom