Je, kuna uwezekano wa kupata kazi migodini?

barbieloree

Member
Jan 2, 2024
28
52
Jamni samahanini wanazengo ningependa kujua kwa ambao.hatukufanikiwa kuendelea na masomo advance tukaishia A level je kuna uwezekano wa kupata kazi migodini? Na kama ndio ni aina gan ya kazi unaweza pata msaada wenu jamn

(Nahangaika sana kutafuta kazi na natamani niende migodini)
 
Mkuu nakushauri kwa sasa walau uwe na ka utalaam kdg hata cha certificate au short course na utafutiwe connection la sivyo hata kuzama shimoni bila connection hupati kwenda kula vumbi
 
Na kwa utaalamu hapo nikitaka kusomea nikasomee nn labda
 
Jamni samahanini wanazengo ningependa kujua kwa ambao.hatukufanikiwa kuendelea na masomo advance tukaishia A level je kuna uwezekano wa kupata kazi migodini? Na kama ndio ni aina gan ya kazi unaweza pata msaada wenu jamn

(Nahangaika sana kutafuta kazi na natamani niende migodini)
Kwanza hujaeleweka unazungumzia migodi gani?, Inayomilikwa na wazungu au ile ya waswahili wenzentu?. Anyways kama ni ile ya waswahili wenzentu we nenda kule hakuitaji kitu chochote zaidi ya nguvu zako tu.
 
Huyu anataka open castr km ya twiga zaman barrick
 
Jamni samahanini wanazengo ningependa kujua kwa ambao.hatukufanikiwa kuendelea na masomo advance tukaishia A level je kuna uwezekano wa kupata kazi migodini? Na kama ndio ni aina gan ya kazi unaweza pata msaada wenu jamn

(Nahangaika sana kutafuta kazi na natamani niende migodini)
Unaweza pata, Ila kwa, mbinde Sana, Ila ukiwa na ka ujuzi, kidogo, maisha yqnaweza kiwa laini,
Kwa elimu yako unaweza pata kazi za ulinzi, kupiga rangi,ujenzi,lakini unakuwa kama kinarua tu,
Tafuta hata ujuzi, wa udereva wa magari na mitqmbo, kupiga rangi, nk
 
Habar kiongoz tunaweza kuzunguza private?
 
Back
Top Bottom