Je , kuna nini nyuma ya kujirekodi na kuvuja kwa video za utupu?

Accumen Mo

JF-Expert Member
May 15, 2022
18,036
39,766
Habari waungwana,

Leo ikiwa wenzetu huku kenya wapo kweny sikukuu ya Mdaraka ''Madaraka day '' , kiongozi mmoja huko Uganda ameachia video ya utupu mtandaoni akila raha duniani . Kiongozi huyu jina maarufu father Lucian.

Video hizo mbili zinaonyesha yeye akiwa ndio anarekodi .

Je, nini kipo nyuma ya matukio haya? Au ni makusudi !

lucian.jpg
 
Tatizo ni wafukunyuzi sasa wewe kama haijaja kwenye inbox yako au kulazimishwa kuiangalia hao haujatoka kwenye taarifa ya habari kwenye luninga yako..., umekwenda kuifukunyua hio haina tofauti na kuchungulia watu dirishani wakiwa kwenye raha zao...
 
Itafikia wakati litakua jambo la kawaida, na wengne wataona kama ufahari kufanya hivyo
 
Back
Top Bottom