voicer
JF-Expert Member
- Jul 13, 2020
- 5,542
- 11,930
Jambo all Member's JamiiForums!
Tumeshuhudia rundo la wanasheria wakiungana kumtetea mwenyekiti wa Chadema Mheshimiwa Mbowe na makomandoo wake.
Kwenye kesi aliyofutiwa na DPP hivi karibuni.
Lakini,
Tunaambiwa na uongozi wa Chadema kupitia media mbalimbali kwamba kuna rundo kubwa sana la wanachama wao ambao wanashikiliwa Magerezani kwa tuhuma mbalimbali.
Sasa tunajiuliza swali kubwa moja tu.
Hao mawakili wenu mnaowaita wa Chadema.
Kina Kibatalla na wenzake kwa nini hawajihusishi na kuhakikisha wanawatetea hao wanachama wao wa Chadema.
Ambao wanaendelea kuteseka Magerezani,huku wakiwa wamebaki kuhangaika wao na familia zao tu?
Je mnatufundisha nini wananchi.
Pale mnapowahamasisha wananchi kujitokeza kuwaunga mkono kwenye harakati zenu ikiwemo na maandamano.
Kisha yakiwakuta ya kuwakuta ikiwemo kuumizwa na kubaki vilema,au kukamatwa na kuswekwa Magerezani.
Mnaishia kuwatelekeza wao wapambane na hali zao bila msaada wowote wa kisheria.
Kutoka kwa uongozi wa Chadema,kama tulivyoona mkifanya kwa Mbowe na walinzi wake?
Wakati nyinyi viongozi mkiendelea na "Coctail party " zenu huko
"Maria Spaces" na
"Club House" usiku.
Kutokea huko ughaibuni Ubelgiji na Canada ambapo wahamasishaji wakubwa Lissu na Lema mnaishi kwa raha zenu.
Na wale mlioko humu nchini mkiendelea kuyatumia hao wahanga kutimiza Projects zenu mnazozita eti "Maridhiano" au "Healing"
Huku mkiendelea kushawishi watoto wa walalahoi wengine wazidi kujitokeza kuwaunga mkono ili kutimiza malengo yenu.
Huku wengine mmewasahau kabisa mfano halisi ni yule mwenyekiti wa chadema mkoa wa Njombe.
Mnawaonaje au kuwachukuliaje hao watanzania?