Nakubaliana na Prof.Kitila
Dogo hutabiriki kabisa,
Nakubaliana na Prof.Kitila
HIV maprofesa wa Tanganyika kaz yao hasa ni ipi
Pasco leo nimekuwa simple mind sio?
Kiukweli kiwango cha uelewa wa baadhi yetu humu jf ni shida!.
Kwenye suala la uelewa, tuna levels za aina tatu,
Tuna simple mind wanao discuss people,
ordinay mind wanao discuss events, matukio,
na Great Mind wanao discuss ideas, Prof. Kitila ni great mind, hoja yake ni ideas, mada inahusu idea, wengi humu ni simple mind hata uelewa tuu wa alichokisema Prof. Kitila ni shida!, badala ya kuchangia subject matter, watu simple minds mnajikita kwenye kumshambulia Prof. Thanks we still have some few great minds na utawajua tuu!.
Hata hivyo asanteni japo kwa kuchangia tuu, kwa sababu mambo mengine ni mambo ya uwezo, na ma IQ, ukikubali kusoma na kutafakari, unajikuta unajiongezea, and sometimes unaweza kuwa umechangia vizui zaidi kwa kujinyamazia kimya tuu kuliko kumwaga pumba!.
Pasco
Wanabodi,
Kwa muktadha huu, jee Tanzania tuna upinzani makini au huu uliopo ni upinzani uchwala tuu?!. Na kama tuna upinzani makini, upinzani huo ni upi?!.
Nitashukuru kama tutaweza kumpata Prof. Kitila humu akatuendeshee hili somo la upinzani uchwala na upinzani makini, na kifo cha upinzani uchwala na kuibuka kwa upinzani makini nchi Tanzania!.
Nawatakia Jumapili Njema.
Pasco
CC. Kitila Mkumbo
upinzani uchwala ni kama wa CHADEMA waliokuwa wanapinga ufisadi sasa hivi mafisadi wanao kwenye chama chao kwahiyo watakuwa kimya na Magufuli atadhibiti ufisadi.
wao hoja zao ulikuwa ufisadi hawana sera mbadala upinzani unaotakiwa hivi sasa ni wa kukosoana kisera.
mfano CCM wakisema hawana fedha za kusomesha wanafunzi bure hadi chuo kikuu inatakiwa wao waje na mkakati waulezee kisomi hizo fedha zitatoka kwenye vyanzo gani.
Prof uchwara wa chama uchwara
...hivi kazi ya upinzani siku hizi sio kupigia kelele mabaya ya watawala?
mf. hili tukio la juzi polisi kuwazuia Chadema kuuaga mwili wa mawazo, ni wao Chadema kujitafutia sifa au lilisababishwa na ujinga wa ccm & polisi?!
Nyie mnataka upinzani uanze kuisifia ccm?! kwa lipi, au mema gani wanayofanyiwa?!
Zile operation M4C na nyinginezo za Cdm, haikuwa mikakati ya kukikuza chama?!
Au mnataka wapinzani waanze kujenga barabara?!!
Nyie mnaojidai wasomi wa nchi hii wakati mwingine ni full michosho, mnajidai mnajua, kumbe mnajulikana bei zenu!
#hopeless!
Mnajiaminisha kwamba ACT Ni Chama kumbe Ni kampuni ya mtu Mmoja naye Ni kiongozi Mkuu Wa kampuni hiyo tena Ni Mali ya CCM kama ilivyokuwa Sukita
Mtu makini hawezi hata siku moja kusifia vitu vya kijinga huyo Kitila U-Prof wake Ni Wa kudesa.
Sasa anaweza kuwa Professor makini???
Kampuni ya mtu binafsi ni ipi!
Mzee Mtei -mwenyekiti CHADEMA
Bob Makani(R.I.P) -mwenyekiti CHADEMA (ameoa dada wa Mzee Mtei)
Mbowe -mwenyekiti CHADEMA (ameoa mtoto wa Mzee Mtei)
Wapinzani ni nyie wanachama masikini tu mnaotoka povu hapa kuteteta chadema lkn wenye chama akina fisadi Lowasa, Mbowe, Lisu wala siyo wapinzani na wanakula bata!
Safari_ni_Safari,Pasco leo nimekuwa simple mind sio?
Safari_ni_Safari,
Kama mada inazunguzia idea, Great Mind akizungumzia personalities, anageuka simple mind!. Hata mimi mwenyewe sio Great Mind, ni simple mind tuu!.
Sorry!.
Pasco