Hapa sasa niwasaidie ndugu zangu,na hii ni story yangu ya kweli.mwaka 2012 hawa watu walikuwa na ofisi pale u-turn Mwanza kweli walikula pesa yangu kwa adisi ya wazungu wanakuja.baada ya muda mrefu nilienda kuhoji baadhi ya watu wakaniambia hao watu wapo hapo Toka muda sana na kuna watu Toka 2009 wanasubiri ajira,nitumie nafasi hii kuwaonya tafadhalini msipoteze Muda wenu na pesa zenu.tafuteni kazi mtapata ila sio hapo.