booker T washington
Senior Member
- Mar 27, 2016
- 104
- 36
- Thread starter
- #61
Tukiambiwa tujiambieSi ulimwaga mbegu kwake.....mimba inaweza kuwepo hakuna cha ajabu
Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
Tukiambiwa tujiambieSi ulimwaga mbegu kwake.....mimba inaweza kuwepo hakuna cha ajabu
Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
Hehe ni sawa unaulizia kelele kariakoo man sanukaaHabari wanajamii,
Naomba mawazo yanu, nipo na mahusiano ya kimapenzi na mwanamke kwa muda mrefu sasa lakini nilipokuwa nikimshauri kuhusu kufanya tendo la sexual ananikatalia, huniruhusu niichezee baadhi ya sehemu tu za mwili wake, ni siku moja tu ndio aliyoniruhusu kuingiliananae kimwili(sexual) lakini baada ya siku kadhaa ananiambia amebeba ujauzito wangu,
Naomba mawazo yanu JE HILI SIO BOMU NATAKA KULIPULIWA?
Viatu havina stimuHivi kwanini mnapenda kutembea pekupeku??? hamuogopi kujichoma???
mazao gani ndugu kama ni mahindi itakua vyema kwani utapunguza uhaba wa chakula kule dodomaMzigo siku moja, napata mazao
Ndio keshajichoma sasa anamtafuta wakumchomoleaHivi kwanini mnapenda kutembea pekupeku??? hamuogopi kujichoma???
Hapa mimi ndipo panaponifanya nashindwa kumuelewa, maana angekuwa ananipa mzigo kila ninapohitaji nisingekuwa na mashaka nae wala kipingamizi chochoteSex hata siku moja inatia mimba lakini inabidi ujua kwann alikuwa anakataa before na kwann alikukubaria badae isije ikawa ww sie baba but ongera kwa demu wako kupata mimba iwe yako au sio ,ongela bwana mkubwa
Sio kama tunakimbia matokeo ile ilikuwa loss bollKwani siku moja mimba haiingii? What if alitega Siku zenyew? Mnabore smty maku uombe mwnyw matokeo uyakimbie...
Basi msamehe kwani hata wewe umekosea badala ya LIPI? umeandika LIPO? HAHAAAAAAAAAAA hapo ndio ujifunze kuwa hakuna asiekosea isipokua MUNGU.Tendo la sexual ndo lipo?!
MUDA WALIOZINI? HAYA BASI NIMEELEWA EEH?,.,,..basi yeye c muhucka? wacha weeeeee.Usikurupuke kufanya maamuzi. Nenda nae Hosp, mkapime ujauzito huo una mda gani. Ukiona hauwiani na mda mliozini basi wewe c muhucka.
hihihihBasi msamehe kwani hata wewe umekosea badala ya LIPI? umeandika LIPO? HAHAAAAAAAAAAA hapo ndio ujifunze kuwa hakuna asiekosea isipokua MUNGU.
yaani nikiwa naandika kwa kisimu changu cha mchina daaaaaaaaaaah kama inageuka k.u hahaha naoopaga sana nikiwa natumia simu inaandika inachojuaBasi msamehe kwani hata wewe umekosea badala ya LIPI? umeandika LIPO? HAHAAAAAAAAAAA hapo ndio ujifunze kuwa hakuna asiekosea isipokua MUNGU.
Usijali mkuu wote inatutokea hata kama tunatumia pc au laptop huwa tunakosea sana tu,tujifunze kuacha kuawakosoa na kuwadhihaki binadamu wenzetu au vipi?yaani nikiwa naandika kwa kisimu changu cha mchina daaaaaaaaaaah kama inageuka k.u hahaha naoopaga sana nikiwa natumia simu inaandika inachojua
sasa bila kukosolewa unajifunzaje kukosolewa ni lazima aisee wala hakuna haja ya kuchukia ukikosolewa ni elimu tosha mi jf huwa inanifunza mambo kibaoUsijali mkuu wote inatutokea hata kama tunatumia pc au laptop huwa tunakosea sana tu,tujifunze kuacha kuawakosoa na kuwadhihaki binadamu wenzetu au vipi?
Habari wanajamii,
Naomba mawazo yanu, nipo na mahusiano ya kimapenzi na mwanamke kwa muda mrefu sasa lakini nilipokuwa nikimshauri kuhusu kufanya tendo la sexual ananikatalia, huniruhusu niichezee baadhi ya sehemu tu za mwili wake, ni siku moja tu ndio aliyoniruhusu kuingiliananae kimwili(sexual) lakini baada ya siku kadhaa ananiambia amebeba ujauzito wangu,
Naomba mawazo yanu JE HILI SIO BOMU NATAKA KULIPULIWA?[/QUOT