Je, Apple kuanza kutumia processor za ARM kwenye computer zao ndiyo mwanzo wa kuanguka kwa intel?

Nafaka

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
12,154
31,199
Kwa miaka mingi intel amekuwa ndiye kinara wa processors inapokuja suala la Desktop Computers. Kuna kipindi intel alikuwa anashikilia zaidi ya asilimia 75 ya market share ya processor za computer.

Lakini kuna hatari mambo yakabadilika. Toka ujio wa smartphones ambazo zinatumia processor zenye teknolojia ya ARM, tumeanza kushuhudia kwamba processor za simu siku baada ya siku zinakuwa na nguvu. Imefika kipindi simu zinaweza kufanya mambo mengi ambayo yangeweza kufanywa na computer. Si kwamba ARM processors zimeanza kutumika tu kipindi cha smartphones, ila zimeanza tumika zamani hata kipindi cha nokia akitengeneza features phones. Ila zimeanza kuwa bora zaidi baada ya ujio wa smartphones.

Intel alifanya kosa kubwa sana baada ya apple kumfuata akitaa atengeneze processor kwa ajili ya simu ya iphone. Intel CEO akawa hana imani kama simu itauza sana hivyo akahisi inaweza isirudishe gharama watakazoingia kufanya utafiti kwa ajili ya kuengeneza processor ya simu. Intel wakagoma, apple akakosa namana ikabidi anunue processor za ARM ndizo atumie kwenye simu.

Simu ikawa hit ikauza sana. Apple wakanunua ampuni ya A.P semi mwaka 2008, wakachukua tena processor technology ya ARM wakai customize na kutengeneza processor yao ya A4, ikafanya vizuri wakaja A5 nayo pia ikafanya vizuri kwenye iphone 5.

Wakaja ishtua dunia baada ya kuja na A6 ambayo ilikuwa faster na efficient kuliko processor za hao wanaowapa tecknoloji. Hii ilikuwa pia ni 64 architecture processor. Tokaea hapo processor zikazidi kuwa na nguvu sana sana.

Sasa apple ameenda mbele zaidi na kuamua kutumia processor hizi kwenye computer. Ametoa Mac Air ana Macbook zenye ARM processor aliyoipa jina la M1. Reviews nyingi zinaonyesha kwamba anaipiga intel kwa kila angle. Pia Computer zinakaa na charge sana maana hizi processor hazili umeme.

(Hizi processor zilipotengenezwa mara ya kwanza na ARM, wakati wa kuzitest walipopima umeme wakshangaa inasoma zero, yani kama vile processor haipitishi umeme, kumbe walikuwa hakuconnect termials za umeme kwenye processor. Ila sasa wakagundua zina run bila hata kuwa connected. Hii ndiyo advantage ya ARM processors. Hazitumii umeme mwingi kufanya kazi hivyo hazizalishi joto sana, na hazili umeme wa betry sana kama ilivyo kwa intel).

Adobe wako mbioni wanacustomize softwares zao ziweze kutumika kwenye hizi processors, microsoft pia anafanya kazi na apple ili office iweze patikana kwenye hizi processors, lakini hata kwa sasa bado utaweza kurun hizi softwares za mac os kwenye hizi computers bila shida ingawa hazijawa customized. Reviewers wengi wanasema unaweza hata usijue kuwa hizo softwares hazijakuwa customized.

Jambo lingine ni kwamba hata apps za ipad, iphone zinarun kwenye hizo comps vizuri tu kwasababu zote zinatumia ARM processors.

Ikumbukwe kuwa apple siyo wa kwanza kutumia ARM processors kwenye computer, microsoft amekuwa akifanya hivyo muda tu ila apple inaelekea agongelea msumari kwenye jeneza.

Huenda intel kwa miaka kadhaa tukashuhudia akianguka.

Chief-Mkwawa
 
Kwanza kwa mimi tu, processor ni nini kwa lugha ya layman wa computer
Ndiyo ubongo wa computer ndiyo inayofanya hesabu na kuchakatakila kitu. Processor utazikuta kwenye computer, simu, calculator, TV siku hizi almost kila electronic device ina processor au microcontroller.
 
1. Hata kampuni zote duniani ziache kutumia cpu za x86 intel Haitadondoka, wana biashara nyingi sana ukitoa cpu.

2. Apple ana marketshare chini ya 10% japo ni mteja mkubwa ila kwenye pc wapo mapapa zaidi. Soko la X86 linakua zaidi kwenye gaming.

Kwa muono wangu mimi threat Kubwa ya intel kwa sasa ni Amd kuliko apple
-Amd anainunua Xilinx kampuni kubwa ya Fpga, karibia nusu ya mapato ya Intel yanatoka huko
-Amd yupo kwenye server na yeye siku hizi
-Amd amewin ps5 na Xbox series X
-Amd tayari amesha mshinda intel kwenye desktop.

Mahala ambapo Intel bado ana Advantage ni laptop na cpu zinazotumia umeme kidogo kama Core m.

Mimi suala la Arm kwenye pc bado halijanishawishi kivile, mpaka nione deep reviews kwanza, sasa hivi zimetoka reviews za kwanza wametest tu vitu vyepesi kama browsing na software ndogo ndogo (kwa simu pia vinafanyika), ngoja nisubirie reviews za Anandtech kwanza.
 
Nimeona review moja ya 3D modelling wakiisifia.
 
Inarun kwenye Rosetta? Ama ni Arm? Maana kuna programs nyingi za modelling kama Blender tayari zina support ya Arm (linux ina arm siku nyingi)
Siko sure Mkuu kama inarun ARM au inkuwa converted via Rosetta. Lakini taratibu nahisi developers wataanza kutransfer softwares zao, maana Adobe kapromise mwakani photoshop, ullustrator zitakuwa tayari optimized for ARM. Microsoft ana work na Apple ku customize Office tayari. Kwa trend hii huenda taratibu wengine watafuata.
Japo kwasasa sidhani kama ni idea nzuri kwa mtu kununua kwakuwa ndiyo kwanza toleo la kwanza.
 
Na Hili ndio linadefine Apple 100%, Hapo wanatengeneza tu Closed Ecosystem. Wawe na controll ya kila kitu.
 
Juzi nilikuwa namtazama Whosethebowse anasema apple wameanza kubadilika maana zamani walikua wana act kama other phones never existed walikuwa hawa comapre bidhaa zao na bidhaa za wengine. Ila siku hizi wameanza kucompare. Zamani walikuwa wanacompare bidhaa yao mpya na ya zamani.
 
Hata bei wameshusha, wanafanya Transition toka Kampuni ya Hardware kwenda kampuni inayotoa service, hivyo target yao siku hizi sio matajiri tu hata watu wenye kipato cha kati wanawataka. ndio maana siku hizi wanaanzia service nyingi, Apple music, Arcade, Tv etc.
 
Back
Top Bottom