Japan yaanza kutumia treni ya kasi zaidi kupita chini ya bahari

Nawaonea wivu hao wajapan,uku Tanzania CCM Wanalingia ni miaka mingapi waliyo tutawala na mingapi uko mbeleni watayo tutawala...badala ya kutulingia huduma nzuri za afya,miundo mbinu bora na maisha bora!
Ile bara bara ya mwananyamala Hospital inajengwa kwa sururu na machepe.. Ndio tulipofikia
 

Attachments

  • image.jpeg
    image.jpeg
    174.6 KB · Views: 43
Duuuuuhhh kuna nchi wako mbali nimeamini, yani kiasi ambacho sisi tutafika baada ya miaka 100.
 
dah!! bora nihamie japan tuu ss mana bongo michosho tuu

wadau mliopo japenga em nipen process za maviza nifanye mpango wa kusepa huu mji wa joto
 
tukiwekeza kwenye elimu tutaweza sio kuna watu sasa hivi wanamlaumu waziri kwanini amerudisha gpa wanataka waonekane wamefaulu kumbe kichwani hamna kitu
 
Tuna shule za vipaji maalum (vipaji vya kusifiwa wamefaulu).
Vyuo vya uhandisi havizalishi wahandisi wanaotatua matatizo ya jamii.
Kilakitu kimegeuzwa ni siasa. Mwisho wa yote elimu ndiye mchawi wa maendeleo.
 
Ebu cheki gharama zahuwo mradi,alafu linganisha na yale ma trilioni aliyo kwapua yule waziri wa nigeria.Africa tuna weza tatizo nidili.
 
Back
Top Bottom