Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 16,975
- 13,146
Nilijua...utakubali tu...! Magufuli selemaaaa !Hapa Kazi tu!!
Hivyo vibali walivitoa wapi?
Vibali mtoe wenyewe halafu baadaye mje mvikatae na kuwaadhibu watu ambao pengine hawana makosa.
Je, hao waliovitoa hivyo vibali adhabu yao ni ipi?
Kwa mwendo huu hii serikali itakuja kuzikana hata passport, birth certicates na nyaraka zingine walizotoa wao kwa kigezo kuwa hii ni awamu nyingine na wao hawakutoa hizo