Jana nimeiona nguvu ya pesa

Mwamuzi wa Tanzania

JF-Expert Member
Apr 7, 2020
14,766
42,929
Hello!
Jana saa moja usiku kuelekea saa 2 nilikuwa nawatoa madogo out. Nimefika njia panda kuna huduma nilikuwa naipata kwa wakala wa pesa. Mara jamaa wawili wanafika wakaweka pozi fupi. Wakaanza kupigiana simu na mama mmoja kuhusu biashara fulani. Inaonesha huyo mama ni mteja wao wa muda mwingi.

Sasa yule mama akawaambia leteni mzigo pesa kesho nitawapa. Wakasema sawa, Mimi ile biashara (Mali) nilikuwa naipenda. Nikawaambia huyo mama kasema kesho Mimi nawapa cash sasa hivi. Aisee pesa mwana haramu jamaa kwa pamoja wakauza mzigo na kusema huyo mama watamchekecha (watampa somo mpaka akae kwenye relief).

Imagine mtu wanayefanya naye biashara mara nyingi walimruka dakika za mwisho kwasababu ya pesa. Kumbe watu wengi tunapoteza vitu muhimu kama ajira, pesa, connection, biashara kwasababu kuna watu wamekaa njia panda na miburungutu ya pesa za kukatisha mifereji yetu.

Zitege pesa kwa njia yoyote ile ilimradi usiue na usiende kwa waganga na wachawi. Njia zingine zote tumia.
 
Hello!
Jana saa moja usiku kuelekea saa 2 nilikuwa nawatoa madogo out.
Nimefika njia panda kuna huduma nilikuwa naipata kwa wakala wa pesa. Mara jamaa wawili wanafika wakaweka pozi fupi. Wakaanza kupigiana simu na mama mmoja kuhusu biashara fulani. Inaonyesha huyo mama ni mteja wao wa muda mwingi. Sasa yule mama akawaambia leteni mzigo pesa kesho nitawapa. Wakasema sawa, Mimi ile biashara (Mali) nilikuwa naipenda. Nikawaambia huyo mama kasema kesho Mimi nawapa cash sasa hivi. Aisee pesa mwana haramu jamaa kwa pamoja wakauza mzigo na kusema huyo mama watamchekecha (watampa somo mpaka akae kwenye relief).
Imagine mtu wanayefanya naye biashara mara nyingi walimruka dk za mwisho kwasababu ya pesa.
Kumbe watu wengi tunapoteza vitu muhimu kama ajira, pesa, connection, biashara kwasababu kuna watu wamekaa njia panda na miburungutu ya pesa za kukatisha mifereji yetu.
Zitege pesa kwa njia yoyote ile ilimradi usiue na usiende kwa waganga na wachawi. Njia zingine zote tumia
Ulipata hicho kitu kweli?
 
Back
Top Bottom