Jana ilikuwa siku ya Rais Magufuli kujenga umaarufu

hii ni kweli ...kama una ushahidi peleka sheria ifuate mkondo....acheni kuzunguka mbuyu
Hao watumish 9000's wanaotakiwa kuondoka walipelekewa ushahid na nani?hao wanaojiita wakaguz wamkague mkuu wetu wa mkoa vyeti vyake tujue Kama ni halisi...
Achen uabshite wenu..
 
Hivi watumishi wa uma upande wa police,jwtz,magereza n.K. Je na wenyewe wamehakikiwa ? Kama sio, wao kama sehemu ya watumishi wa uma wana kinga yoyote ya kuto-kuhakikiwa vyeti vyao ? Wenye taarifa tunaomba watujuze.Maana hata hawa askari wanapoajiriwa lazima wapeleke vyeti.Iweje kundi hili la watumishi wa uma wasihakikiwe uhalali wa vyeti vyao ?
Kiroboto ww
Na Uzi wako
 
Hao watumish 9000's wanaotakiwa kuondoka walipelekewa ushahid na nani?hao wanaojiita wakaguz wamkague mkuu wetu wa mkoa vyeti vyake tujue Kama ni halisi...
Achen uabshite wenu..
Haya maswali ungempelekea Mbowe wakati akijiandaa kwa hoja binafsi...itoshe kujaza miserver na badala yake tufuate njia sahihi zilizopo kufikia lengo letu.
 
Mimi tatizo langu kwa wale mwanafunzi wa udom kupiga makofi kila kitu!
Yaani wanaambiwa mkuu wa mkoa na wilaya awe unajua kusoma na kuandika tu wanapiga makofi.......kweli!!
Ndio hawa wasomi wanakuja mtaani hata kufanya reasoning mdogo namna hiyo kujua kama hilo swala halina mantiki, tuna safari ndefu sana!

Wakiitwa vilaza wanalalamika hoooooo tumedhalilishwa!
...Mkuu waweza kukuta nusu ni makada wanaojiita wanafunzi.
 
Wakuu wa mikoa,wilaya,madiwan na wabunge + mawaziri nao wakaguliwe...wenye vyeti fek wafukuzwe na majina yao tuyaone magazetin ....acheni kuwanyonga watu wa hali ya chini...MTU analipwa lak 4 mnafatilia afu MTU analipwa karibia mill 30 mnamkenulia meno....haki sawa kwa wote
Hata bashite nae atatoka tu,muda wake unakuja,ww km ni kilaza usikimbilie nafasi zisizo zako
 
Wanajf, salaam!!!
Napenda kuungana na watu wote tulioipokea taarifa ya uhakiki wa vyeti vya watumishi wa umma tarehe 27/4/2017. Hii inaonesha jinsi gani serikali inajivunia kutoa huduma kwa wananchi.

Pamoja na sifa hizo nachukulia taarifa ya uhakiki wa vyeti hivyo kama imejaa ubaguzi, uonevu na unyanyapaa kwa baadhi ya watanzania, ingawa kimsingi walikosea na KUVUNJA sheria za nchi kwa kufoji, kuiba au kula njama wakati wakitafuta vyeti hivyo.

Ubaguzi, uonevu na unyanyapaa ninaozungumza umetokana na mambo yafuatayo:-
1. Kutofanya uhakiki kwa wakuu wa wilaya, mikoa na Wabunge ambao nao ni watumishi hakuingii akilini mwangu (Mhe. Dkt John Pombe Magufuli jana watu wengi - CCM, CDM, NCCR, CUF, ACT na wasio kuwa na vyama walielekeza macho na masikio nchini Kolomije) - hapa ndiyo ilikuwa muhimili mkubwa wa Uhakiki na matokeo yake. Umaarufu wa rais ungeongezeka kama angetoa tamko la kuagiza sehemu hizo zihakikiwe.

2. Kufanya kazi bila ubia - kazi ya rais haipaswi kuonekana as if anapotekeleza ana ubia na mtu - kitendo cha kutolishughulikia sakata la kughushi vyeti kuhusu Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda linatia giza na kutafsiriwa kwa hisia tofauti tofauti ikiwemo kundi moja la watu kutaka kulifananisha na ukabila, uchama nk nk - hali si hatari tu bali linavunja sura ya taasisi ya Ikulu.

Maoni/Ushauri:-
1. Mhe. Dkt JPM aangalie upya jinsi ya kushughulikia sakata hilo - pamoja na kuwa anajinasibu kuchukia siasa na wanasiasa lakini afahamu kuwa nafasi yake ni ya kisiasa. Chama cha MAPINDUZI tunahitaji tena kupata ridhaa ya wananchi mwaka 2020 kupitia chama chetu.

2. Matamko mengine si lazima ayatoe kwa kuwa humchonganisha kwa wananchi - mfano mzuri ni kusema kuwa yeye a nachukia wanasiasa. Hii si nzuri kabisa.

Hongera zake iwapo wafanyakazi wataongezewa mishahara wakati wakulima bajeti ya pembejeo ikiwa ndogo. Maybe next budget wakulima nao wataneemeka kwa mkazo wake.

Msakila KABENDE
Kwanza kuwa making ktk nukuu zako hiyo takwimu ya hao wstumishi si sahihi, sahihi ni 9932.
 
Vyeti feki viondoke haraka sana,ww ulikimbia umande alafu unataka uchukue nafasi za watu waliosota shuleni,hapa tuweni wa kweli,hakuna uchama hapa,hapa safi sana magufuli,hawa waliofoji vyeti ndio waliokua wanawazibia vijana wetu ajira na kuwafanyia dharau wenzao walio hustle.Hapa safi sana waondolewe wote
Umemuelewa mtoa mada?Kwa muktadha wa mada na ikilinganishwa na huu mchango wako ningelikuwa mwalimu wako ungekula zero hapa.
 
Hivi watumishi wa uma upande wa police,jwtz,magereza n.K. Je na wenyewe wamehakikiwa ? Kama sio, wao kama sehemu ya watumishi wa uma wana kinga yoyote ya kuto-kuhakikiwa vyeti vyao ? Wenye taarifa tunaomba watujuze.Maana hata hawa askari wanapoajiriwa lazima wapeleke vyeti.Iweje kundi hili la watumishi wa uma wasihakikiwe uhalali wa vyeti vyao ?
Si kila wakati lazima uongeee, shauri ako, mdomo huo huo uliponza ta**ko mombasa
 
hivi mkuu wa chama chetu pendwa saliwahi kushtumiwa kwenye madawa na anazero au sijuwi vyeti.......kashajitokeza!
 
Kwanza, nilishangaa waziri wa utumishi wa umma anatangaza kuidhalilisha na kuizika hadhi ya mtu kupata elimu ya kuelimika ndani ya eneo la taaluma, yaani Chuo Kikuu-Dodoma halafu wana-Chuo Kikuu wenyewe ambao wanapaswa kuwa mstari wa mbele kutetea taaluma na elimu kwa ujumla wanampigia makofi! Aibu kubwa kwa UDOM. Ingekuwa ni pale University of Dar es Salaam (UDSM) hali ya hewa ingechafuka palepale. Kuna uwezekano Waziri angezomewa ili kumpa ujumbe kwamba wanathamini elimu na siyo porojo. Hivi UDOM ni chuo kikuu kweli? Mbona hakina kiu ya kuona elimu inapata thamani inayostahili? UDOM mjirekebishe. Hivi mkiulizwa mlikuwa mnapiga makofi ya nini mtu anapoidhalilisha elimu mbele yenu mnaoitwa wasomi mtasemaje?

Pili, hao waliofoji vyeti wapewe ukuu wa mkoa, wilaya na uwaziri kwani wanajua kusoma na kuandika. Wafanyiwe kitu kinaitwa 'recategorization'. yaani mtu anawekwa kwenye nafasi anayostahili baada ya kukosa au kupata sifa fulani zinazoendana na nafasi fulani. Kwa vile walikuwa kwenye nafasi zinazohitaji elimu na utaalamu zaidi ya kusoma na kuandika wapelekwe kwenye nafasi zinazohitaji kujua kusoma na kuandika tu, ambazo ni za uwaziri, ukuu wa mkoa,na ukuu wa wilaya.

Tatu, Waziri wa utumishi wa umma, Angela Kairuki ametuthibitishia na kututaarifa watanzania jinsi tulivyo na katiba mbovu. Nchi ina katiba ya hovyo kabisa. Eti katiba inamtaka waziri, mkuu wa mkoa, mkuu wa wilaya na diwani awe na elimu ya angalau ya kujua kusoma na kuandika. Hii katiba yetu ndio kikwazo cha maendeleo ya nchi yetu.

Nne, kama katiba inawataka watu wenye maamuzi makubwa ya kutunga na kusimamia sera kama mawaziri eti wajue tu kusoma na kuandika, je, tuna ujasiri gani wa kuimba 'Tanzania ya Viwanda'? Nijuavyo mimi nchi ya viwanda ama nchi ya uchumi wa kati kama tutavyoimba kila siku inahitaji watu wenye elimu inayoeleweka, watu wenye upeo wa hali ya juu kitaaluma ili kuendesha hivyo viwanda na huo uchumi wa kati. Kweli kinachofanyika Tanzania ni maigizo tu, tena viongozi na waratibu wa maigizo hayo ni viongozi mfano wa Kairuki ambao tumewaamini tukawapa nafasi ya kutuongoza kuelekea kwenye ustawi wa nchi. Hii ni aibu. Waziri kwa vile alikuwa akimbeba Paul Makonda angeamua kunyamaza au kutoa sababu nyingine kuliko aibu ya namna ile. Hivi Kairuki ana elimu gani?
 
Wanajf, salaam!!!
Napenda kuungana na watu wote tulioipokea taarifa ya uhakiki wa vyeti vya watumishi wa umma tarehe 27/4/2017. Hii inaonesha jinsi gani serikali inajivunia kutoa huduma kwa wananchi.

Pamoja na sifa hizo nachukulia taarifa ya uhakiki wa vyeti hivyo kama imejaa ubaguzi, uonevu na unyanyapaa kwa baadhi ya watanzania, ingawa kimsingi walikosea na KUVUNJA sheria za nchi kwa kufoji, kuiba au kula njama wakati wakitafuta vyeti hivyo.

Ubaguzi, uonevu na unyanyapaa ninaozungumza umetokana na mambo yafuatayo:-
1. Kutofanya uhakiki kwa wakuu wa wilaya, mikoa na Wabunge ambao nao ni watumishi hakuingii akilini mwangu (Mhe. Dkt John Pombe Magufuli jana watu wengi - CCM, CDM, NCCR, CUF, ACT na wasio kuwa na vyama walielekeza macho na masikio nchini Kolomije) - hapa ndiyo ilikuwa muhimili mkubwa wa Uhakiki na matokeo yake. Umaarufu wa rais ungeongezeka kama angetoa tamko la kuagiza sehemu hizo zihakikiwe.

2. Kufanya kazi bila ubia - kazi ya rais haipaswi kuonekana as if anapotekeleza ana ubia na mtu - kitendo cha kutolishughulikia sakata la kughushi vyeti kuhusu Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda linatia giza na kutafsiriwa kwa hisia tofauti tofauti ikiwemo kundi moja la watu kutaka kulifananisha na ukabila, uchama nk nk - hali si hatari tu bali linavunja sura ya taasisi ya Ikulu.

Maoni/Ushauri:-
1. Mhe. Dkt JPM aangalie upya jinsi ya kushughulikia sakata hilo - pamoja na kuwa anajinasibu kuchukia siasa na wanasiasa lakini afahamu kuwa nafasi yake ni ya kisiasa. Chama cha MAPINDUZI tunahitaji tena kupata ridhaa ya wananchi mwaka 2020 kupitia chama chetu.

2. Matamko mengine si lazima ayatoe kwa kuwa humchonganisha kwa wananchi - mfano mzuri ni kusema kuwa yeye a nachukia wanasiasa. Hii si nzuri kabisa.

Hongera zake iwapo wafanyakazi wataongezewa mishahara wakati wakulima bajeti ya pembejeo ikiwa ndogo. Maybe next budget wakulima nao wataneemeka kwa mkazo wake.

Msakila KABENDE
Mwishoni umeharibu
 
Kwanza, nijuavyo mimi uhakiki wa vyeti duniani kote unalengo la kuhakiki uhalisia wa taarifa ndani ya cheti husika na uhalisia wa mmiliki wa cheti hicho. Uhakiki wa vyeti duniani kote haulengi kubaini kama mhusika anajua kusoma na kuandika tu.

Pili, Uhakiki wa vyeti unawahusu wote wanaomiliki vyeti bila kujali ni mkulima, mwanasiasa, mfanyakazi wa eneo lolote au sekta yoyote, dereva, mhudumu, mwanataaluma, hakimu, n.k. Maadamu anamiliki cheti au amepewa nafasi yoyote ndani ya utumishi wa umma au sekta binafsi, au mashirika ya dini anapaswa kuthibitisha uhalali wa cheti au vyeti anavyomiliki.

Tatu, hawa wana siasa wanalipwa na fedha ya serikali ambayo ni mali ya umma na ni kodi zetu. Lazima tujiridhishe na uhalali wa mtu kukalia ofisi ya umma na kulipwa mshahara. Haya mazingaombwe yanafanyika Tanzania tu. Dunia inatushangaa na kutucheka.
 
Tukikisema chuo hiko kwa kutoa vilaza tunawaonea nadhan mmeona wenyew jana
.
.
.
Kyenekyaka nkighanile une
 
Tatizo la wauza madawa ya kulevya ndio wachangiaji wengi Mwacheni Rais Afanye kazi yake na Kama mnachuki binafsi na wateuliwa wake imekula kwenu.
 
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
hii nchi hii..
Yaani ilifika mahali ikabidi nicheke tu, yaani kwa zama hizi MTU unaambiwa kiongozi wa mkoa ajue kusoma na kuandika tu, unashangilia!
hii nchi hii..
 
Mimi tatizo langu kwa wale mwanafunzi wa udom kupiga makofi kila kitu!
Yaani wanaambiwa mkuu wa mkoa na wilaya awe unajua kusoma na kuandika tu wanapiga makofi.......kweli!!
Ndio hawa wasomi wanakuja mtaani hata kufanya reasoning mdogo namna hiyo kujua kama hilo swala halina mantiki, tuna safari ndefu sana!

Wakiitwa vilaza wanalalamika hoooooo tumedhalilishwa!
Acha stori za kijiweni wewe, lilipotolewa tamko hilo watu waliguna usiongee kama ulikuwepo vile, na jambo linguine kwenye rank ya vyuo vikuu ya kimataifa imeiweka UDOM kwenye tano bora baada ya UDSM,SUA,MUHAS na OPEN au waliopanga hiyo rank ni vilaza nao? UDOM ndio chuo bora ndio mana kilitembelewa na viongozi wa juu kabisa serikalini.
 
Mimi tatizo langu kwa wale mwanafunzi wa udom kupiga makofi kila kitu!
Yaani wanaambiwa mkuu wa mkoa na wilaya awe unajua kusoma na kuandika tu wanapiga makofi.......kweli!!
Ndio hawa wasomi wanakuja mtaani hata kufanya reasoning mdogo namna hiyo kujua kama hilo swala halina mantiki, tuna safari ndefu sana!

Wakiitwa vilaza wanalalamika hoooooo tumedhalilishwa!
Kama hukuwepo usiongee pumba mkuu asilimia mbili ya walioenda haiwez ikawakilisha asilimia 98 ya ambao hawakwenda, wengi walikuwa wafanyakaz Wa chuo
 
Mbeleko ya chuma inayotumika awamu hii ni still original kutoka German
 
Back
Top Bottom