JamiiForums all time awards kwenye muziki wa bongo

Ila hapo kwenye kamanda hyo nyimbo jamaa alitulia sana

A kuna ile nyingine inaitwa swahiba
 
PROFESA JEI NI MSANII BORA KULIKO YEYOTE KUWAHI KUTOKEA TANZANIA..... atakayelinganishwa naye ni duli saiksi, labda na yule wa zeze.
 
Sijamuona mbaraka mwinshehe
Marijani Rajabu
Hemed Manet
Isa matona
Bi kidude

Anyway, may be am too old
 
Back
Top Bottom