Katika huu Uzi(Thread).
Tutakuwa tunazungumzia taarifa muhimu zenye faida kuhusu JamiiForum Herbs-(Mimea pamoja na mbogamboga na matunda).
Yatajwe katika Majina yake ya asili,Matumizi yake,Pamoja na picha zake.
Inaanza hivi punde...!!!
°Pilipili hoho.
°Watalamu wa afya kutoka mtandao wa healthy living wanaeleza pilipili hoho ya njano kuwa ni mboga yenye faida nyingi kiafya kuliko zingine.
Mnakaribishwa nanyii.