Jamani naomba tutaje maeneo ambayo yanaongoza kwa utapeli wa viwanja...

greater than

JF-Expert Member
Sep 22, 2018
1,653
3,003
Jamani naomba tutaje maeneo ambayo yanaongoza kwa utapeli wa viwanja...
-Tutaje jina la eneo, Kata na Wilaya husika
-Ushuhuda

Itasaidia kuwa tahadharisha watu,hasa wale wanunuzi wa mara ya kwanza wa viwanja.
 
Mtu unatapeliwaje ardhi?

Watanzania wengi wanapenda shortcut na kupata mali kwa bei au njia rahisi na ni mwanya huo huo unaowaponza wanatapeliwa kitu kama ardhi ambacho hakihami na ukifuatilia kabla ya kununua unapata majibu.

Ukitapeliwa ardhi jua uliingiza tamaa wakati unafanya mchakato.wa kuinunua.
 
Huwa unachukua hatua gani ili kuepuka utapeli wa kiwanja...
 
Yaani hili ni gumu sana kiwanja kinauzwa kwa watu zaid ya 3 na mjumbe , mwenyeki ma mtendaji wote wanahusika na risiti unapewa
 
Ni mtu Mpumbavu,Tahira,Zwazwa & Mwenye utindio wa Ubongo ambaye anaweza kutapeliwa Ardhi!
 
Kahama municipal,huko kuna madudu ya aliyekua mkurugenzi Andason na wahuni wenzake Yusufu , Msangi na wengine ni hatari. Viwanja vya nyumba za watumishi wa serikali wamevimega wakajimilikisha na vingine kuuza
 
Hapa umenipa tahadhari,mana moja kati ya maeneo ambayo natamani kumiliki ardhi
 
Back
Top Bottom