Wote walikutana vichwa ngoma drooMkuu usikose mrejesho, Kuna mwenzio alimtokea mtoto wa kishua.
Msela : Oya dada inakuwaje pande za wapi wewe mbona mrembo sana kama Jlo.
Mtoto wa kishua : Asante kaka kwani vipi unatafuta kazi?
Msela : Hapana unajua kukuona umenifanya kuzishtua hisia zangu za moyoni.
Mtoto wa kishua : Hee we kinyago uso mbaya kama chapati ya mamantilie, hata kazi ya nyumba hupati seuze mapenzi. Nenda huko
Msela : Na wewe kwenda huko miguu imekwenda upande kama dereva wa bodaboda.
Ndukiiiii
NMkuu usikose mrejesho, Kuna mwenzio alimtokea mtoto wa kishua.
Msela : Oya dada inakuwaje pande za wapi wewe mbona mrembo sana kama Jlo.
Mtoto wa kishua : Asante kaka kwani vipi unatafuta kazi?
Msela : Hapana unajua kukuona umenifanya kuzishtua hisia zangu za moyoni.
Mtoto wa kishua : Hee we kinyago uso mbaya kama chapati ya mamantilie, hata kazi ya nyumba hupati seuze mapenzi. Nenda huko
Msela : Na wewe kwenda huko miguu imekwenda upande kama dereva wa bodaboda.
Ndukiiiii
Ngoja Bodaboda waitane unawatukana siyoMkuu usikose mrejesho, Kuna mwenzio alimtokea mtoto wa kishua.
Msela : Oya dada inakuwaje pande za wapi wewe mbona mrembo sana kama Jlo.
Mtoto wa kishua : Asante kaka kwani vipi unatafuta kazi?
Msela : Hapana unajua kukuona umenifanya kuzishtua hisia zangu za moyoni.
Mtoto wa kishua : Hee we kinyago uso mbaya kama chapati ya mamantilie, hata kazi ya nyumba hupati seuze mapenzi. Nenda huko
Msela : Na wewe kwenda huko miguu imekwenda upande kama dereva wa bodaboda.
Ndukiiiii
N
Ngoja Bodaboda waitane unawatukana siyo
Sio upungufu wa nguvu za kiume tu Bashite ni upungufu wa Kila kitu..Kwahiyo maana ya bashite ni upungufu wa nguvu za kiume
Unatakiwa uhojiwe aisee ili utuambie vizuri juu ya neno bashiteSio upungufu wa nguvu za kiume tu Bashite ni upungufu wa Kila kitu..
Bashite ni msamiati mpya kwa sasa tumeshauriwa na mkuu wetu wa Darisalama kuutumia sana kadri tuwezavyo.Unatakiwa uhojiwe aisee ili utuambie vizuri juu ya neno bashite