Jamani kuna nini kwani kinaendelea Tanzania kwa sasa?

Wewe jamaa ni kiboko kama haupo vile kumbe loh kuna tafrani umewaachia wakatoliki

Najua umenielewa

Mkuu mbona sijakuelewa hapo unapowasema sijui Wakatoliki? Mimi sina dini sasa nashangaa tena unavyonihusisha na hao Wakatoliki. Kwani kumetokea nini Mkuu yawezekana kwakuwa sipo humu jf mara kwa mara napitwa na mengi mno.
 
Ukiamka unasikia sijui Gwajima hujakaa sawa sijui Makonda na vyeti feki hujajipumzisha mara unasikia tena sijui Halima Mdee na Spika Ndugai ukiangaza angaza tena unasikia sijui mchanga wa dhahabu na mtu bado hujapumzika na unayatafakari hayo mara ghafla tena unasikia sijui akina roma wamefanywa nini.

In short Mimi Mtanzania mwenzenu nimechanganyikiwa na haya ya nadhani nahitaji counseling ya kutosha kwani naanza kwa mbali kuichukia Tanzania na huko tuendako kama hali hii haitaisha au kumalizwa nadhani itabidi tu nimkabidhi rasmi roho yangu Israeli aondoke nayo tu Mbinguni kwa Baba Mungu.

Ndugu zanguni na wana JF wenzangu Tanzania yetu imekumbwa na nini sasa? Mwenye hii hofu na wasiwasi ni Mimi peke yangu tu au?

Ewe Mwenyezi Mungu tusaidie!
wewe upo nchi gani.mtoa uzi
 
Ni taahira tu ambaye anaweza kuandika haya uliyoyaandika hapa. Mtu anayejitambua kamwe hawezi kuandika pumba kama hizi. Ni hasara kubwa kuwa na watu nchini wasiojitambua kama wewe.

Nchi iko salama kabisa hii ya Tanzania, ila **** propaganda zinaenezwa kuwa Tanzania sio salama ukimuuliza kwanini sio salama hajui.

Nijuavyo Mimi Tanzania Tuko salama kabisa wala hakuna shida.

Huo uhalifu unaotokea ni kama uhalifu mwingine wowote ule na utashughulikiwa kama uhalifu mwingine unavyoshughulikia.

Hatuna jambo jipya ila kuna watu wanataka tuamini nchi haiko salama kitu ambacho si kweli.

Kama kutekwa watu haijaanza Leo,watu kupotea hakujaanza leo,kuuwawa watu na majambazi hakujaanza Leo,kuibiwa watu hakujaanza leo.

Ni matukio ambayo yapo na ni kiwango cha chini sana ambacho hakiwezi kuathiri amani ya nchi kiasi cha kusema nchi haiko salama.
 
Hali ni mbaya sana. Watu waache unafiki tuendako ni kiza kinene. Usalama wa MTU haipo, mfumuko wa bei upo juu afu MTU anasema tuko sawa! Apimwe akili
 
Kama nyerere alivyosema katika moja ya hotuba zake mkienda kinyume na dhambi hii iwatafune mi naongezea na iwatafune Mara mia ili mnyoooke ,maana mnajifanya wajuaji sana watanzania mnaletewa NEEMA baba wa taifa kawatengenezea nchi nzuri nyie ujuaji mwingi badala ya kufuata misingi yake ,hata pale alipokesea nyie mnashindwje kuelewa kwamba huu ni ugali nasio pilau
 
Kuna kichaa kapewa rungu na hivyo kujenga taharuki kubwa katika jamii ya Watanzania Mkuu. Inatisha sana na kama wangemsikiliza Janeth Magufuli kwa makini wangeinusuru nchi yetu na hili jinamizi kubwa lililotanda nchini. Ukiona mke anagoma kumfanyia mumewe kampeni ya kuongoza nchi ni lazima ujiulize KULIKONI? Yule mama aliona kwamba huyu jamaa hastahili kuongoza nchi yetu lakini akadharauliwa.

Ukiamka unasikia sijui Gwajima hujakaa sawa sijui Makonda na vyeti feki hujajipumzisha mara unasikia tena sijui Halima Mdee na Spika Ndugai ukiangaza angaza tena unasikia sijui mchanga wa dhahabu na mtu bado hujapumzika na unayatafakari hayo mara ghafla tena unasikia sijui akina roma wamefanywa nini.

In short Mimi Mtanzania mwenzenu nimechanganyikiwa na haya ya nadhani nahitaji counseling ya kutosha kwani naanza kwa mbali kuichukia Tanzania na huko tuendako kama hali hii haitaisha au kumalizwa nadhani itabidi tu nimkabidhi rasmi roho yangu Israeli aondoke nayo tu Mbinguni kwa Baba Mungu.

Ndugu zanguni na wana JF wenzangu Tanzania yetu imekumbwa na nini sasa? Mwenye hii hofu na wasiwasi ni Mimi peke yangu tu au?

Ewe Mwenyezi Mungu tusaidie!
 
Ukiamka unasikia sijui Gwajima hujakaa sawa sijui Makonda na vyeti feki hujajipumzisha mara unasikia tena sijui Halima Mdee na Spika Ndugai ukiangaza angaza tena unasikia sijui mchanga wa dhahabu na mtu bado hujapumzika na unayatafakari hayo mara ghafla tena unasikia sijui akina roma wamefanywa nini.

In short Mimi Mtanzania mwenzenu nimechanganyikiwa na haya ya nadhani nahitaji counseling ya kutosha kwani naanza kwa mbali kuichukia Tanzania na huko tuendako kama hali hii haitaisha au kumalizwa nadhani itabidi tu nimkabidhi rasmi roho yangu Israeli aondoke nayo tu Mbinguni kwa Baba Mungu.

Ndugu zanguni na wana JF wenzangu Tanzania yetu imekumbwa na nini sasa? Mwenye hii hofu na wasiwasi ni Mimi peke yangu tu au?

Ewe Mwenyezi Mungu tusaidie!
Tatizo mshiko hakuna, zile pesa zilizokuwa zinamwagika kila kona zimepungua, watu wameelekeza hasira zao kwa serikali, serikali imebana kona zote mbofu mbofu za kupitishia pesa chafu na hicho ndio kilio, njaa.
 
Hata Bungeni nimemsikia Mh Mdee na Mh Sugu wanalitaja hili jina ndiyo najiuliza ni nani huyu.

Maana inaonekana ni MTU maarufu sana huyu.Lakini ni nani hasa na Anafanya nini?

Mkuu:
Pole sana, unalo hilo.
 
Back
Top Bottom