Jamani i need a serious wife of my life

[aQUOTE="lin, post: 15401380, member: 228324"]JF oyeeeeeeeeeee[/QUOTE] ha ha haaaaaa.. Kumbe kuna wanawake wengi wenye uhitaji Na Ndoa!! Mbona Ndoa Ni issue ya kawaida sana, wenzetu mnaigroup Vipi wadada?
 
this world is so black n whit from my experience out of 10 unaweza bahatika kumpata 1 serious so don't be very selective.
mimi nilikua namtafuta mwanamke smart kwa kweli i eneded up crying so nachojaribu kusema mtangulize Mungu kwanza
coz we are not perfect mwombe Mungu angalau akupe mtu wa kufanana nawe .
 
kosea vyote lakini usikosee kuoa dah reverse yake ni chungu sana some tym no reverse ukiingia kichwakichwa baba....sijui
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom