Jamani Azam TV tuhurumieni kwa kutuachia Local Channels

Watanzania kwa kulilia huduma za bure imekuwa too much.
sasa wewe unataka mfanyabiashara akupe huduma ya bure wakati yeye anagharimikia mamilioni kukupa hio huduma?
 
mkuu hata Startimes usipolipiamuda mrefu nao wanaondoa zote na kukuachia Tbc 1 tu. jamaa yangu yamemkuta alipowauliza wakamwambia alipie japo kifurushi cha sh elfu 4.
Startimes hakuna tatizo hilo kuna mtu nilimnunulia mwaka wapili sasa na sijawai kulipia na anapata local channels bure zote zile tano muhimu!
 
Tutaisoma namba...CCM oyee.. Vingamuzi nusu ya Watazamaji vitajifunga wenyewe, siku hizi hata foleni hamna, ukitoka kariakoo saa 11 jioni barabara nyeupe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…