Jamani Azam TV tuhurumieni kwa kutuachia Local Channels

Wakuu,

Napenda kujuzwa kama wanachokifanya Azam TV ku Block Local Channel zote ukiacha TBC1 ???????!!!!!??????!!!! Pale Subscriptions fee inapo expire.
Is this Fair ? Why Only TBC1 ?
What about other Local Channels ?
Si TCRA walishawahi kusema hawa Providers wanatakiwa kuonesha at least Local Channels for free.
Naomba kujuzwa

Cc TCRA
Watanzania kwa kulilia huduma za bure imekuwa too much.
sasa wewe unataka mfanyabiashara akupe huduma ya bure wakati yeye anagharimikia mamilioni kukupa hio huduma?
 
mkuu hata Startimes usipolipiamuda mrefu nao wanaondoa zote na kukuachia Tbc 1 tu. jamaa yangu yamemkuta alipowauliza wakamwambia alipie japo kifurushi cha sh elfu 4.
Startimes hakuna tatizo hilo kuna mtu nilimnunulia mwaka wapili sasa na sijawai kulipia na anapata local channels bure zote zile tano muhimu!
 
Tutaisoma namba...CCM oyee.. Vingamuzi nusu ya Watazamaji vitajifunga wenyewe, siku hizi hata foleni hamna, ukitoka kariakoo saa 11 jioni barabara nyeupe.
 
Back
Top Bottom