ITV acheni woga

Tangu tishio la rais kuhusu wamiliki wa vyombo vya habari, taarifa za habari za itv zimekuwa za kuchosha kutokana kutangaza habari za kumfurahisha mkuu wa nchi tu.
Tumieni taaluma achaneni na wanasiasa watawapoteza. Igeni BBC, CNN nk
ITV takataka TV
 
Hata gazeti lao la Nipashe linaweka picha za Malaika front page kuogopa eti... ITV kumbe hawako realistic na ukiona hivyo ujue ni kweli walikuwa wanaonyesha habari za UCHOCHEZI
 
Sio woga ni "uoga".

Hawa Wamiliki wanawaza kwa sauti sasa hivi wapo njia panda muda wowote wanaweza kuletewa yule jamaa wa jeans ya LEE
 
Walichohitaji ni kupata uhakika kwamba mkulu anaawaangalia vizur sasa washajua..let them serve the master.
 
Mi habari za TV sikuhizi siangalii maana kujipendekeza, shukrani kwa mitandao maana bila hyo tungekuwa tunadaganywa ka enzi za dark ages za Nyerere
 
Tangu tishio la rais kuhusu wamiliki wa vyombo vya habari, taarifa za habari za itv zimekuwa za kuchosha kutokana kutangaza habari za kumfurahisha mkuu wa nchi tu.
Tumieni taaluma achaneni na wanasiasa watawapoteza. Igeni BBC, CNN nk
Sasa habari za ITV zimetulia hazihitaji wanywa viroba
 
Back
Top Bottom