SAYVILLE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 6,631
- 10,840
Embu jaribu kuwaza Simba ifanikiwe kufuzu kwenye mashindano ya FIFA Club World Cup 2025 yanayotarajiwa kufanyika Marekani.
Embu waza night kali flani hivi, Tanzania nzima mijini hadi vijijini ndani ndani huko kila mtanzania anakesha kuisubiri mechi ya Simba vs Real Madrid, oya weee. Halafu unajua lazima Infantino na FIFA yake wataipanga Simba kwenye mechi ya ufunguzi maana wanajua vibe letu litafika hadi huko.
InshaAllah, kama nitabarikiwa kuwa hai kama Simba itafuzu haya mashindano lazima niyaone live bila chenga.