Lowasa alisafishwa ,Wema alisafishwa, Sumaye alisafishwa na Kingunge alisafishwa kutoka kuitwa mganga wa kienyeji hadi kuwa Babu wa mabadiliko nchini. Bavicha walisugua kwa kila aina ya sabuni hadi hao wazee waliowaita wachafu na mafisadi kwa miaka 8 ,wakaoneke??