Hofu imewatanda. Wanadhani kwa kufanya hivyo kutasaidia kukatisha tamaa wabunge wenye lengo la kuendeleza sakata la escrow. Yetu macho!WAMILIKI WA KAMPUNI YA IPTL WAMEFUNGUA KESI MAHAKAMANI DHIDI YA MBUNGE ZITTO KABWE NA GAZETI LA RAIA MWEMA
IPTL WAMEFUNGUA KESI PAMOJA NA PAN AFRICAN POWER SOLUTION TANZANIA LIMITED KUPINGA SAKATA SAKATA LA ESCROW KUJADILIWA TENA BUNGENI KUFUATIA RIPOTI KADHAA WALIZOZIPATA, HUKU WAKISISITIZA KUWA ZITO KABWE ALIKUWA NA MGONGANO WA MASILAHI WAKATI ALIPOKUWA AKIJADILI SAKATA LA ESCROW BUNGENI LAKINI HAKUWEKA WAZI , KINYUME NA KANUNI ZA BUNGE NA SHERIA KWA UJUMLA.
KATIKA MAELEZO YAO IPTL WAMEELEZA KUWA KABLA YA KUJADILIWA KWA SAKATA LA ESCROW BUNGENI WALIKUWA TAYARI WAMEFUNGUA KESI MAHAKAMANI DHIDI YA ZITO KABWE NA MHARIRI WA RAIA MWEMA WAKIWASHITAKI KWA KUSEMA NA KUCHAPISHA HABARI KWENYE GAZETI HILO WAKIDAI KUWA KULIKUWA NA FEDHA ZA UMMA KWENYE AKAUNTI YA TEGETA ESCROW.
ZITO KABWE HAKUWEKA WAZI UWEPO WA KESI HIYO SEHEMU YOYOTE KATIKA MJADALA WOTE WA BUNGE KUHUSU KILE KILICHOITWA SAKATA LA TEGETA ESCROW. KUTOWEKA WAZI HUKO KULIPELEKEA BUNGE KUPOKEA TAARIFA ZISIZO NA UKWELI KUTOKA KWA MTU AMBAYE ALIKUWA NA MASLAHI KATIKA JAMBO HILO’’ INASOMEKA SEHEMU YA PINGAMIZI LA IPTL
Unamimba na wewe !!?? Au vipi soma alama za wakati .nyakati ndio zinakwenda zima uoza wote aijalishi ulikuwa au huko upande gani.so stay cool and waiting .indirect or directNina wasiwasi Chagadema wako nyuma ya hili.... manake wapo kama mwanamke mwenye mimba akimchukia mtu.. hawampendi sana ZZK...
Ni wewe Ritz??? Au kuna MTU anatumia account yakoNimesoma hii nimecheka sana...
KATIKA MAELEZO YAO IPTL WAMEELEZA KUWA KABLA YA KUJADILIWA KWA SAKATA LA ESCROW BUNGENI WALIKUWA TAYARI WAMEFUNGUA KESI MAHAKAMANI DHIDI YA ZITO KABWE NA MHARIRI WA RAIA MWEMA WAKIWASHITAKI KWA KUSEMA NA KUCHAPISHA HABARI KWENYE GAZETI HILO WAKIDAI KUWA KULIKUWA NA FEDHA ZA UMMA KWENYE AKAUNTI YA TEGETA ESCROW.
Wale wote waliokuwa wanalalamikia ili wapo upande wa Singasinga!
CCM ni mafia nimeamini leo...
Nimeongelea swala la Zitto na siyo Escrow. Tunaomjua Zitto huku mjini ni tofauti na wanavyomjua KigomaKwa hiyo unakiri kuwa pesa ya Escrow haikuwa ya wananchi.
Sasa mbona mnawalalamikia kina Tibaijuka, Chenge?
Huu uzi unahusu IPTL na Escrow.Nimeongelea swala la Zitto na siyo Escrow. Tunaomjua Zitto huku mjini ni tofauti na wanavyomjua Kigoma
WAMILIKI WA KAMPUNI YA IPTL WAMEFUNGUA KESI MAHAKAMANI DHIDI YA MBUNGE ZITTO KABWE NA GAZETI LA RAIA MWEMA
IPTL WAMEFUNGUA KESI PAMOJA NA PAN AFRICAN POWER SOLUTION TANZANIA LIMITED KUPINGA SAKATA SAKATA LA ESCROW KUJADILIWA TENA BUNGENI KUFUATIA RIPOTI KADHAA WALIZOZIPATA, HUKU WAKISISITIZA KUWA ZITO KABWE ALIKUWA NA MGONGANO WA MASILAHI WAKATI ALIPOKUWA AKIJADILI SAKATA LA ESCROW BUNGENI LAKINI HAKUWEKA WAZI , KINYUME NA KANUNI ZA BUNGE NA SHERIA KWA UJUMLA.
KATIKA MAELEZO YAO IPTL WAMEELEZA KUWA KABLA YA KUJADILIWA KWA SAKATA LA ESCROW BUNGENI WALIKUWA TAYARI WAMEFUNGUA KESI MAHAKAMANI DHIDI YA ZITO KABWE NA MHARIRI WA RAIA MWEMA WAKIWASHITAKI KWA KUSEMA NA KUCHAPISHA HABARI KWENYE GAZETI HILO WAKIDAI KUWA KULIKUWA NA FEDHA ZA UMMA KWENYE AKAUNTI YA TEGETA ESCROW.
ZITO KABWE HAKUWEKA WAZI UWEPO WA KESI HIYO SEHEMU YOYOTE KATIKA MJADALA WOTE WA BUNGE KUHUSU KILE KILICHOITWA SAKATA LA TEGETA ESCROW. KUTOWEKA WAZI HUKO KULIPELEKEA BUNGE KUPOKEA TAARIFA ZISIZO NA UKWELI KUTOKA KWA MTU AMBAYE ALIKUWA NA MASLAHI KATIKA JAMBO HILO’’ INASOMEKA SEHEMU YA PINGAMIZI LA IPTL
Uzi unahusu IPTL na ZiTTo/gazeti, don't force me to comment on what you want.Huu uzi unahusu IPTL na Escrow.
KATIKA MAELEZO YAO IPTL WAMEELEZA KUWA KABLA YA KUJADILIWA KWA SAKATA LA ESCROW BUNGENI WALIKUWA TAYARI WAMEFUNGUA KESI MAHAKAMANI DHIDI YA ZITO KABWE NA MHARIRI WA RAIA MWEMA WAKIWASHITAKI KWA KUSEMA NA KUCHAPISHA HABARI KWENYE GAZETI HILO WAKIDAI KUWA KULIKUWA NA FEDHA ZA UMMA KWENYE AKAUNTI YA TEGETA ESCROW.
WAMILIKI WA KAMPUNI YA IPTL WAMEFUNGUA KESI MAHAKAMANI DHIDI YA MBUNGE ZITTO KABWE NA GAZETI LA RAIA MWEMAUzi unahusu IPTL na ZiTTo/gazeti, don't force me to comment on what you want.
Zitto ni mpiga dili saana huyu dogo, Kigoma wanamuona malaika kumbe ni sawa na marehemu Mzee Idd Hemed "imisi ilagugwa"
Next time don't capitalize your articles bila sababu maalumu. It's all about communication skills.WAMILIKI WA KAMPUNI YA IPTL WAMEFUNGUA KESI MAHAKAMANI DHIDI YA MBUNGE ZITTO KABWE NA GAZETI LA RAIA MWEMA