Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 20,353
- 38,580
Hapa Iringa mirungi inatafunwa kama mboga na wala haina shida. Kumbe kwa maana hii madawa ya kulevya Tanzania yanaweza yasiwe ni madawa ya kulevya Kenya. Kenya Mirungi inalimwa na inauzwa kama mchicha sokoni!!Mirungi
Tanzania kuna Waziri Mkuu Kenya hawana Waziri Mkuu,Kila nchi ina sheria zakeHapa Iringa mirungi inatafunwa kama mboga na wala haina shida. Kumbe kwa maana hii madawa ya kulevya Tanzania yanaweza yasiwe ni madawa ya kulevya Kenya. Kenya Mirungi inalimwa na inauzwa kama mchicha sokoni!!
Nye vanyalukolo nyenye, uwuyamba muwulekate. Imirungi si minofu!Hapa Iringa mirungi inatafunwa kama mboga na wala haina shida. Kumbe kwa maana hii madawa ya kulevya Tanzania yanaweza yasiwe ni madawa ya kulevya Kenya. Kenya Mirungi inalimwa na inauzwa kama mchicha sokoni!!
Elewa mantiki. Hoja hapa ni nini tafsiri kuhusu madawa ya kulevya na jee hayo madawa ya kulevya yana hadhi sawa mbele ya sheria?Tanzania kuna Waziri Mkuu Kenya hawana Waziri Mkuu,Kila nchi ina sheria zake
Lakini imo kwenye kundi la madawa ya kulevya!!Bangi haina tatizo kwenye hilo naomba tuelewane watanzania.
HaimoLakini imo kwenye kundi la madawa ya kulevya!!
Mimi sijui ndiyo maana nimeuliza!Hata gundi yaan patex ni madawa ukivuta unalewa kuliko.je nayenyewe nayo inahusika?
Kwa mujibu wa sheria ya Tanzania bangi iko kwenye kundi la madawa ya kulevya while pombe(ukiondoa gongo) sio madawa ya kulevya,kumbuka pombe mfumo wake wa utengenezwaji unathibitishwa na TFDA na TBS na pia watengenezaji wa pombe wanalipa kodi ambayo ni chanzo kikuu cha mapato ya serikaliKama bangi ni madawa ya kulevya, basi usisahau kuitaja na pombe!
Bangi iko kundi la madawa ya kulevya,hadhi mbele ya sheria inategemea na kiasi ambacho utakutwa/kamatwa nachoElewa mantiki. Hoja hapa ni nini tafsiri kuhusu madawa ya kulevya na jee hayo madawa ya kulevya yana hadhi sawa mbele ya sheria?
Kuna madawa unaweza kutumia kwa recomendation ya daktari hapo unakuwa hujafanya kosa.Kuna madawa ya kulevya yanatumika kutengenezea dawa ambazo zinatumika kwenye hospitali kwa matibabu ya wagonjwaHata ukichukua cocaine ukaiweka kwenye kopo la kahawa waweza sema ni kahawa nyeupe. Tatizo ni jinsi ya kutumia, je kuna mtu anajidunga kahawa kwa bomba la sindano ?
Na washawasha!
Kwa hiyo maana yako, ina maana kuwa as long as gongo na pombe nyingine ambazo hazijathibitishwa na TFDA na TBS,basi hizo ni dawa za kulevya.Kwa mujibu wa sheria ya Tanzania bangi iko kwenye kundi la madawa ya kulevya while pombe(ukiondoa gongo) sio madawa ya kulevya,kumbuka pombe mfumo wake wa utengenezwaji unathibitishwa na TFDA na TBS na pia watengenezaji wa pombe wanalipa kodi ambayo ni chanzo kikuu cha mapato ya serikali