Kama kichwa kinavyo someka,vita ipi unashauri nitumie kati ya:-
•kutumia maneno Vs
•Kuingia ulingoni kuzichapa ndondi?
kuna mtu kanivuruga hapa nampigia hesabu kali,ila nahofia nisije nikachukua maamuz magum yakaja kunighalimu.
Pls mawazo yako ni muhimu.