Prakatatumba abaabaabaa
JF-Expert Member
- Aug 2, 2022
- 1,776
- 5,912
Katika maisha yangu yote, sijawai kuona sherehe isiyo kua na furaha, wanandoa watakodi range, au V8 kwa ajili ya kuzurura na kupiga picha.
Lakini ndani ya mwaka mmoja ndoa inaanza kukosa nuru mwisho wasiokua wavumilivu wanakimbia na kuacha ndoa zao, imenifanya niwaze kwanini watu wanaoana kwa kupenda kabisa na kuamua kufunga ndoa alafu baada ya ndoa watu wanaanza kupigana na migogoro isiyoisha, na mwanamke ile heshima aliyokua nayo inaisha?
Kuna wanawake wanacheat kinyama sasa mpaka najiuliza imekaaje hii? Kwanini walioana?
Nimeandika hapa kwa sababu ni mwezi tu mjomba wangu kafunga ndoa, na honeymoon walienda hotel Verde huko zanzibar, ila juzi wamekimbizana na mke wake, ngumi nyingi sana na makofi mke kaona cha kufia ini?
Kabeba begi nayeye kalala mbele, hakuna ndoa Tena. Sasa najiuliza Hawa walitukalisha usiku kwenye sherehe ya ndoa yao kumbe walikua wanaigiza tu? Kipi kinasababisha watu kubadilika kwenye ndoa?
Au swala la kuoa siku hizi imekua kama ni kubet? Uwezi kujua kama mkeo/mmeo atabadilika?
NB: SIJAWAI KUONA BINTI WA KIHA AKIACHIKA KISA UMALAYA 😁😁