Ipi ni njia nzuri: Kujitawaza kwa kutumia Maji au Toilet Paper/tissue paper?

hah ha ha huwezi amini usiku huu wife ananiuliza nacheka nini:D
ila hizi huduma mbili inategemea na diet ya mhusika maana kuna mizigo mingine inabidi tuzi uipige na pressure ya maji ma kuna mengine ukigusia na katishu basi tuzi inakuwa clean....

nb. kuna siku nilitaka kukimbia pale quality centre ushamba wa vyoo baada ya kushusha mzigo sioni kopo wala tishu kucheki pembeni naona kama kajikoki ile kukipress dud ghafla tigo ikapigwa pressure kama car wash vile ilibidi nisimame kwa mbali maana urijali unanisumbua.....ila ushamba ushanitoka
Inaonekana uliskia raha tigo kupigwa pressure dalili mbaya mkuu funga omba akuepushe na ugasho
 
Back
Top Bottom