Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,243
- 4,379
Maisha ya binadamu awali yalikuwa ni ya mjumuiko(umoja) kitu ambacho kinampezesha Mungu sababu ndani ya maongezi ya watu wengi Mungu anakuwepo(yanazungumzwa mema tupu) lakini imekuwa tofauti na wakati huu kuna chemba nyingi za mawasiliano haramu zinaendelea, usiri wa kufanya njama ovu dhidi ya viumbe wa Mungu.
Itafikia muda wema utaonekana ni ujinga na hatimae waovu ndiyo wenye kupokea sifa, huu ni wakati wa dola ya kishetani.
Upo Kazini.
Itafikia muda wema utaonekana ni ujinga na hatimae waovu ndiyo wenye kupokea sifa, huu ni wakati wa dola ya kishetani.
Upo Kazini.