Inauma kumpenda asiyekupenda ila kwanini uendelee kuteseka?

naweza kuamua kweli nisimpende.. ila sasa moyo ndo unanipa mateso... umeshampenda yaan ipo siku nitakuwa na mawazo juu yake.. hapo ndo ntaamini siwezi kuachana nae..!
 
Hahahaaaa natania tu bana manake hawakawii kuanza maneno yao humu...ooh Ngabu anamfukuzia Espy.

Kuna tuzo za ESPN zinaitwa ESPY.....

So ni utani tu huu.

Peace.

Hahahaaaa!! Kwani unaogopaga maneno ya humu? Mie natambua ni utani tu.
 
Hahahaaaa!! Kwani unaogopaga maneno ya humu? Mie natambua ni utani tu.
Naah...mie tena niogope?

Been here for 11 years....know that.

I was just looking out for you.

But if you're good then it's all gravy.
 
Pole sana.. Jifunze kutokupenda usipopendwa.. Na unapopendwa shikama...

Never expect to much from someone..this will help you to be heartless...
 
Mleta mada ninakuelewa, yalinikuta hayo wiki chache zilizopita, matatizo nilipoingia niliwasha gari na kuanza mwendo wa 80miles/hr, sikujua kumbe stop haikuwa mbali, kwa speed niliyokuwa nayo nikajikuta nimegonga ukuta. Niliuguza vidonda ndiyo kwanza nimepata discharge kutoka hospitali, sasa ni historia.
 
Heheeee pole weee.

Natumai utakuwa ushapoa sasa....
 
Back
Top Bottom