Zapa RadioFm
Senior Member
- Feb 12, 2016
- 112
- 171
Wazo bovu ujibiwa na wazu zuri toa hilo zuriWazo bovu hiko
Ni kama unamaanisha tunatumia sukari kadri inavyozalishwa! Sukari inayozalishwa ni nyingi kuliko inayotumiwa ktk kipindi. Ndiyo maana warehouse zina stock ya kutosha. Uhaba ungeweza kutokea lakini siyo kwa kiasi hicho.Inasikitisha Sana kuona viongozi wetu wakisumbuka kutafuta nani ameficha sukari.
Viongozi wetu hawakutakiwa kusumbuka kujua nani ameficha sukari hali wakijua hakuna mfanyabiashara anayekosa stoo.
Kilichopo ni kwamba maamuzi ya kuzuia vibali vya sukari kutoka nje ni maamuzi sahihi lakini si kwa wakati huu.
Ikumbukwe kwamba viwanda vyetu vya sukari nchini ambavyo vinategemea malighafi ya miwa bado havijaanza kuvuna miwa mpaka ufikapo mwezi wa sita.
Hivyo basi viwanda kwa wakati huu vinazalisha sukari kidogo sana, kiasi kisichokizi mahitaji ya watanzania.
Na kwa kawaida viwanda vya sukari huzalisha asilimia sitini tu na asilimia arobaini kutoka nje ya nchi.
Ndio maana tunatumia nguvu sana kutafuta sukari huku ikiendelea kupanda bei siku hadi siku.
Siku moja Patrice Lumumba akasema "African make decision which require logic without using logic''
Yaan "waafrika wanafanya maamuzi yanayohitaji kushughulisha akili sana bila kushughulisha akili"
NINI KIFANYIKE???
hatupo hapa kulaumu sana sababu tunaweza kulaumu mpaka majasho yatoke lakini hatuwezi kubadilisha chochote?
HIVYO BASI
Mrisho Mpoto aliwahi kuimba akisema "mjomba chutama, muungwana akivuliwa nguo huchutama''
Cha msingi ni kuruhusu sukari toka nje wala sio kutafuta nani ameficha sukari.
Faida yake ni nini?
Tukiruhusu sukari toka nje hata walioficha sukari wataitoa tu,
Kwanini? Kwa sababu watahofia sukari yao kuharibika.
Kumbe tukitoa vibali tu sukari itashuka bei.
TUJIULIZE?
Kuna faida gani ya kutumia sukari yetu inayouzwa kwa bei ya sh zaidi ya 3000 kwa kilo, au kutumia sukari ya kwetu na ya nje kwa bei ya sh 2000 kwa kilo?
Kuna faida gani ya kusema walioficha sukari nitalala nao mbele halafu watu wakitoka hapo wananunua sukari kwa bei ile ile?
Kuna faida gani ya kuwa na maneno mengi bila vitendo?
Lete lako la kutoka hapo Lumumba sasaWazo bovu hiko
Ni kama unamaanisha tunatumia sukari kadri inavyozalishwa! Sukari inayozalishwa ni nyingi kuliko inayotumiwa ktk kipindi. Ndiyo maana warehouse zina stock ya kutosha. Uhaba ungeweza kutokea lakini siyo kwa kiasi hicho.
Upuuzi uliofanywa na hao wafanyabiashara, kwenda kiwandani na kununua sukari yote na kuifungia. Hawa ni wapuuzi na kazi yao siyo kutunza sukari. Miaka yote viwanda vimelalamika kwa kuwa na sukari nyingi ikiwa imerundikana, iweje leo isionekane ghafla!
mkuu....ma CCM hayana uwezo wa kukujibu .....hawana akili ya kuwaza zaidi ya pua zaoama kweli watu wepesi wa kuridhika.wanashangilia sana wakati bado bei ni ileile tu.leo ni siku ya tatu tunasubiri kugawiwa sukari bure cjaona labda kwenu.rais anasema wanachukua sukari iliyotupwa baharini tbs wako wapi na nani alaumiwe? huvi alizuia kuingiza sukari sababu inaingizwa iliyopitwa mda au alizuia ili kusaidia viwanda vya ndani viendelee?
Serikali ipo sahihi kuzuia uagizaji holela wa sukari hili kuvihamasisha viwanda vya ndani kuzalisha na kuuza kwy soko la ndani,sasa wewe na wenzako mmeamua kwenda kwenye viwanda vyetu hivi na kununua sukari yote na kuijaza kwy maghala yenu hili ihadimike sokoni na nyie muuze kwa bei mnayotaka (ulanguzi na hujuma) lengo likiwa kuwahumiza watz,nyie kupata faida kubwa na wakati huo huo kutaka serikali ionekane ilikosea katika kufanya maamuzi yake yenye nia nzuri kwa taifa....hata kama wewe na wenzako mna maslahi kwenye kuagiza sukari,sasa mhe.JPM ameshasema hii si katika serikali yake maana,serikali itawabana na kuwafikisha mbele ya vyombo vya sheria kwa mashtaka y kuhujumu uchumi na ukikutwa na hatiha miaka 15 jela.Inasikitisha Sana kuona viongozi wetu wakisumbuka kutafuta nani ameficha sukari.
Viongozi wetu hawakutakiwa kusumbuka kujua nani ameficha sukari hali wakijua hakuna mfanyabiashara anayekosa stoo.
Kilichopo ni kwamba maamuzi ya kuzuia vibali vya sukari kutoka nje ni maamuzi sahihi lakini si kwa wakati huu.
Ikumbukwe kwamba viwanda vyetu vya sukari nchini ambavyo vinategemea malighafi ya miwa bado havijaanza kuvuna miwa mpaka ufikapo mwezi wa sita.
Hivyo basi viwanda kwa wakati huu vinazalisha sukari kidogo sana, kiasi kisichokizi mahitaji ya watanzania.
Na kwa kawaida viwanda vya sukari huzalisha asilimia sitini tu na asilimia arobaini kutoka nje ya nchi.
Ndio maana tunatumia nguvu sana kutafuta sukari huku ikiendelea kupanda bei siku hadi siku.
Siku moja Patrice Lumumba akasema "African make decision which require logic without using logic''
Yaan "waafrika wanafanya maamuzi yanayohitaji kushughulisha akili sana bila kushughulisha akili"
NINI KIFANYIKE???
hatupo hapa kulaumu sana sababu tunaweza kulaumu mpaka majasho yatoke lakini hatuwezi kubadilisha chochote?
HIVYO BASI
Mrisho Mpoto aliwahi kuimba akisema "mjomba chutama, muungwana akivuliwa nguo huchutama''
Cha msingi ni kuruhusu sukari toka nje wala sio kutafuta nani ameficha sukari.
Faida yake ni nini?
Tukiruhusu sukari toka nje hata walioficha sukari wataitoa tu,
Kwanini? Kwa sababu watahofia sukari yao kuharibika.
Kumbe tukitoa vibali tu sukari itashuka bei.
TUJIULIZE?
Kuna faida gani ya kutumia sukari yetu inayouzwa kwa bei ya sh zaidi ya 3000 kwa kilo, au kutumia sukari ya kwetu na ya nje kwa bei ya sh 2000 kwa kilo?
Kuna faida gani ya kusema walioficha sukari nitalala nao mbele halafu watu wakitoka hapo wananunua sukari kwa bei ile ile?
Kuna faida gani ya kuwa na maneno mengi bila vitendo?
Sukari ipo imefichwa ili kupima ujuzi na nguvu ya Ngosha. Ngosha ametuma ujumbe tayari na dawa ni kuwanyanganya vibari na kuwapa Wengine watiifu na wenye huruma kwa Taifa. Mengine ni mbwembwe za kisomi zisizo na tija
Hakuna soko la holela na pia mtu haruhusiwi kuficha bidhaa ili walaji wapate shida na yeye aje kuuza kwa bei kubwa. hakuna uhuru usio kuwa na mipaka.Nikweli maamuzi yamefanyika kwa kukurupuka huku tukisahau kwamba serikali ilikwishajivua dhamana ya kuthibiti mfumuko huu wa bei na kuacha kila mtu aamue kiholela atakavyo.
Sasa tunataka kurudi kwenye misingi ya uzalendo bila kuangali ni wapi wamejikwaa na warudi kwa utaratibu upi.