Inashangaza mtu anakuwa na nguo hadi za kulalia

Yani mnachukulia usingizi ni kitu serious sana mpaka mnakuwa na nguo za kulalia, Yani mtu anakuwaje na nguo za kulalia? Mimi najua unajitupa tu kitandani unalala Ivo Ivo.

Nguo zakulalia tena?
Wanazipatqqq wapiii khaaaaa umenikumbushaa mbali nilimnunulia wife enzihizo nguo za kulalia mnaita sijui nyt dress ghali toka nje gafla tukitibuana yaan mwendo wa sketi ktandan

Siku tukaend kwa dadake kumpa pole aliumia kha namkuta ana fl sqd ya nguo yangu

Toka sikuhio sijawahi nunulia nke kamwe
 
Yani mnachukulia usingizi ni kitu serious sana mpaka mnakuwa na nguo za kulalia, Yani mtu anakuwaje na nguo za kulalia? Mimi najua unajitupa tu kitandani unalala Ivo Ivo.

Nguo zakulalia tena?
tafuta pesa asee.... usikute unalala kwenye banda la mbuzi saa ngapi utaona umuhimu wa nguo za kulalia....... unaishi stoo nguo za kulalia bei yake inakulisha mwezi mzima......

ukiishi kama paka lazima kuna vitu hutavielewa cave man
 
MM NILIKUWA NA LALA UCHI B MKUBWA AKACHENJ GIA NA SKETI LO NKASOMA SEHEMU KULALA UCHI KUNAPUNGUZA NGUVU ZA KIUME

NA UKILALA LALALIA UBAVU WA KULIA

3.UKILALA LALA KULIA KWA.MKEO KUSHOTO UNAPUNGUZA NGUVU ZA KIUME JAMAN HAWA N WAZUNGU KABISAAA TOKA SIKUHIO LOH
 
tafuta pesa asee.... usikute unalala kwenye banda la mbuzi saa ngapi utaona umuhimu wa nguo za kulalia....... unaishi stoo nguo za kulalia bei yake inakulisha mwezi mzima......

ukiishi kama paka lazima kuna vitu hutavielewa cave man
Mpwaa usimmdharau anaweza kuwa na kezi za yanga 3
45 X 3

Ananua zakulalia zakutosha pale karume
 
Exposure mkuu huna! Nyie ndiyo mnaoota mnaliwa kiboga na mazombi, Mwanaume si sawa kulala uchi kabisa Kuna dharula au kuvamiwa. Ukiwa umevaa walau Nguo fulani utaweza kupambana na kujitetea.

Pia inategemeana na hali ya hewa, njoo Mbeya kama utaweza kulala kibeberu kama unavyodhani😂
 
Back
Top Bottom