Inahitajika nyumba ya kupanga Mbezi au Kimara

Jaluo_Nyeupe

JF-Expert Member
Dec 21, 2010
2,809
2,231
Inahitajika nyumba ya kupanga yenye vyumba viwili au vitatu vya kulala, sebule, dinning, jiko, car parking space, iwe na uzio. Appartment zisizozidi nyumba mbili sehemu moja au nyumba inayojitegemea. Umeme wa kujitegemea na iwe na maji. Isiwe zaidi km moja kutoka kituo cha basi moro road. Maeneo ya kuanzia Mbezi mwisho hadi Kimara. Malipo ya miezi sita kuanzia 200,000 hadi 250,000 kwa mwezi kutegemea na uzuri wa nyumba. Nitumie ujumbe kwa mawasiliano zaidi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…